Results for walitakiwa translation from Swahili to English

Swahili

Translate

walitakiwa

Translate

English

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

watu hawa na wanawake waliikosoa serikali kwa sababu hawakufukuzwa bali walitakiwa kurudi nchini mwao kwa njia zao wenyewe.

English

these men and women criticized the government precisely because they had not been "repatriated" but had been simply required to return by their own means.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakati wa majadiliano hayo, wabunge wanawake walitakiwa kuelezea mafanikio na changamoto walizokabiliana nazo wakati wote wa kipindi cha uongozi wao.

English

during the chat, the female mps were tasked to take stock of their achievements and challenges that they've faced during their term in office.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vile vile waliokuwa na wasiwasi kwamba wagonjwa waliokuwa wanahitaji kufanyiwa upasuaji walitakiwa kulipia dawa zote na vifaa vyote vilivyohitajika kwa ajili ya upasuaji.

English

they were also concerned that patients requiring an operation have to pay for all the drugs and other supplies needed for the procedure.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tovuti rasmi ya kijiji cha matumaini kina tamko, ambalo limekubalika na wafanyakazi wote ambao walitakiwa kuondoka nchini humo, ambalo linasomeka:

English

the village of hope's official web site hosts a statement, endorsed by all of the staff members who were asked to leave the country, which reads:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

upigaji kura ulifanywa katika kipindi chenye hekaheka za uchaguzi: watu wa martinique walitakiwa kuamua kama wanataka uhuru zaidi katika idara yao, mwezi januari tu.

English

the vote took place in a very busy electoral period: martinicans were asked to decide for more autonomy in their department, only in january.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jumapili ya tarehe 14 machi, raia wote wa ufaransa wakiwemo wale wa idara za ng’ambo za ufaransa (martinique, guadeloupe, french guiana na reunion) walitakiwa kupiga kura za majimbo na bunge la majimbo lenye madaraka katika majimbo hayo kama vile katika mipango ya mafunzo ya watu wazima, ujenzi na bajeti za shule za sekondari za umma, na kutoa fedha kwa miradi ya kukuza utamaduni.

English

on sunday march 14th, all french citizens including those in the four french overseas departments (martinique, guadeloupe, french guiana and reunion) were asked to vote for the regional elections and the regional assembly in charge of devolved powers such as planning adult professional training, building and funding public high schools, financing and promoting cultural projects.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,713,326 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK