From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wabunge wanaomwunga mkono rais yanukovych tayari walikuwa wameshaondoka kwenye jengo la bunge, wkaati rais mwenyewe aliingia mitini.
mps who support president yanukovych had left the building, while the president himself was nowhere to be found.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hakuna atakayewajibishwa kwa sababu wale ambao wangefanya hivyo tayari wameshalihama jiji hili, na watoto wao wamehama, na hata watoto wao pia wameshaondoka, wakiliacha jiji lilijaa watu walioathirika vibaya na uchafuzi wa mazingira, eneo lenye magonjwa ya kansa...jiji hili linaitwa kunming.
no one will be held responsible because the ones that should be have already left the city, and their children have already immigrated, leaving a tattered and polluted city with innocent people, a cancer area ..... this city is called kunming.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: