From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
siwezi kukubalian na hali hii ya kutokuwajibika kulikooneshwa na wamiliki wa jengo hili.
i cannot accept such a lack of responsibility from the management.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jarida la magazine revista fórum liliwahoji wamiliki wa anuani kadhaa kati ya zile 66 zilizotajwa kwenye shitaka hilo.
magazine revista fórum interviewed owners of a few of the accounts among the 66 named in the suit.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakionekana kutokutaka kuachwa nyuma, wamiliki wa nyumba ambapo yesu anasemekana kuonekana, hivi sasa wanadai michango:
not wanting to be left behind, the owners of the home where jesus is said to have appeared are now asking for donations:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kipindi cha milenia mpya, tembo wamekuwa wakitumika kama sehemu ya kujipatika kipato, wamiliki wa tembo hawana budi kuwatumikisha tembo wao katika siku saba za wiki ili kujikimu kimaisha.
the new millennium has bought with it the burden of financial gain, with mahouts (elephant owner) having to work their elephants seven days a week to earn a living.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hali ya huduma ya mawasiliano katika nchi yetu mara nyingi imekuwa ikilinganishwa na urahisi wa upatikanaji na utoaji wa huduma hizi kutoka kwa wamiliki wa njia za mawasiliano kutoka nchi nyingine, ikiwa ni pamoja na maeneo ya amerika ya kusini.
the state of our services is frequently compared with the affordability and convenience with communication carriers from other countries, including those from latin american regions.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
picha za video zinatumwa kwenye mtandao wa intaneti na vyombo vya habari vya kiraia zikionyesha yale yanayojiri kuhusu mgogoro unaoibuka nchini venezuela kati ya wahindi wa jamii ya yukpa wanaoishi katika milima ya perijá, wamiliki wa ardhi na rais chávez.
citizen media videos have been uploaded informing of the situation arising in venezuela between the yukpa indians of the perijá mountains, landowners and president chávez.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
chanzo cha picha na: njeri wangari msingi mkuu wa hoja yake ni jinsi wamiliki wa vyombo vikuu vya habari wanavyodharau suala hili kama wakosefu hasa pale wanapoanikwa hadharani kupitia baruapepe, wakati huohuo hakuna hatua za kinidhamu zinazochukuliwa dhidi ya wahariri.
photo source: njeri wangari her main bone of contention is in how the mainstream media owners are downplaying this as the culprits when exposed through numerous emails to the editor do not receive any disciplinary action.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kero ni ileile katika barabara kuu mbili: ukatili ni uleule kutoka kwa wamiliki wa teksi za njano , hali ni ile ile ya miili ya binadamu kukusanywa kama samaki kwenye magbana mabasi kama teksi, sauti zilezile ziongezazo furaha ya maisha katika jiji langu.
always the same chaos on the two main roads: the same unscrupulous yellow taxis, the same human bodies packed like sardines into magbana taxi-buses, the same familiar noise that animates the life of my capital.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kama ilivyowahi kutokea awali, ususiaji huu unaweza a) kupunguza hisia za kutokuwa na nguvu na b) kuumiza wamiliki wa kiarabu pamoja na wafanyakazi wao, bila ya kuathiri uchumi wa marekani, kinyume na vile anavyodai profesa wa chuo kikuu cha abdulaziz.
as with earlier, similar boycotts, this one is likely to a) assuage saudi feelings of impotence and b) hurt the saudi franchisees and their employees, without actually doing much damage to the us economy, contrary to what a professor from king abdulaziz university states.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
inahuzunisha kuona kwamba kwa sababu tu baba ni rais basi hana haki ya kumiliki gari kama hilo, kama mtu kama mimi ninamiliki (gari la aina ile) na hakuna mtu angeweza kujua kinachoendelea, nadhani wamiliki wa wavuti hii pamoja na watu wanaotoa maoni yao hapa waonyeshe kukomaa katika namna wanavyojadili masuala yenye maslahi ya taifa. kwa kawaida unajikuta unasoma maoni yanayochefua ambayo hayaleti maana kabisa na kwa sababu tu watu wanayo hadhira basi kila akina jim na jack wanadhani wana habari.
its sad to see that just because the father is president he has no right to own such a car,if a person like me owns such nobody would know whats happening,i this this publication along with some of the people that comment should show maturity in the way they discus matters of national interest.normally you read very lousy comments that don’t make sense at all and just because people have an audience every jim and jack thinks they have news .this man who calls himself a leader of this ngo that i have heard of today for the first time will just bring stories that he probably was discussing with friends in the bar and of course this paper thinks everything is right without credible sources .shame!!!
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.