From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kituo cha kukabiliana na ugojwa huu kimepanga kupulizia dawa kutoka angani ili kuangamiza inzi weusi wanaosadikiwa kuwa ndio chanzo kikubwa cha ugojwa huu.
the center for disease control plans to carry out aerial spraying targeting black flies, which are suspected to be the major cause of this illness.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hatutaki kuona mazungumzo yanayotawaliwa na watu wanaoonekana kuvumilia utendaji wa chama tawala katika mambo ya kitaifa, na ambao ndio wanaosadikiwa kuwa sehemu ya mwangwi wa kale wa chumba cha siri cha majaji.
we simply do not want to see a conversation that is dominated by people who might be sympathetic of the ruling party's position on national issues, and are hence more likely to be part of the ancient echo chamber.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tume ya udhibiti wa mawasiliano nchini bangladeshi imeomba taarifa za idadi fulani ya wanablogu kutoka katika sehemu mbalimbali zitumiwazo na wanablogu kuweka taarifa mbalimbali ikiwa ni juhudi za kutaka kuwanyamazisha waandishi fulani wanaosadikiwa kuukashfu uislamu au kutaka kuiangusha serikali.
the bangladesh telecommunication regulatory commission, a member of the committee, has requested information on a number of bloggers from different blogging platforms in an effort to ban certain writers considered insulting to islam or anarchistic.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: