Results for wangeweza translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

wangeweza kuiba, kudanganya na unyang’anyi.

English

they could do all the stealing, the cheating, the robberies.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zaidi, watanzania wangeweza kumwaibisha kwa kumpa jina la mtaa kumtambua.

English

what is more, the tanzanians could afford to shame him with a street name for recognition.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wangeweza kirahisi tu kutangaza marekebisho au jambo fulani...chochote kile.

English

they could have easily published a correction or anything ... anything at all.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

leo tunaangalia njia ambazo watu wangeweza kuzitumia ili kuondoa baadhi ya changamoto wanazokabiliana nazo watoto wa syria.

English

today, we look at ways in which individuals could help alleviate some of their suffering.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama watu walikuwa eneo la tukio walikuwa tayari kunipa kichapo ili kumridhisha bosi wao, watu hao lazima wangeweza kudanganya kumridhisha.

English

if the men on site were willing to beat me up to please their boss, they would certainly lie for him.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sioni sababu kwa nini rais kwa kushirikiana na waziri wake wa kilimo wangeweza kutusi akili za wanigeria wote kwa kufanyia maigizo wazo zuri kama hili ambalo limebadilisha nchi kama uganda, kenya na india.

English

i see no reason why the president in conjunction with his minister of agriculture would insult the collective intelligence of nigerians by playing to the gallery with a noble idea that has revolutionised countries like uganda, kenya and india.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanajua kuwa, kama utawala utaachia ngazi, watapoteza kila kitu, kwa sababu, serikali ilipokuwa na mamlaka yote ya kuongoza, walijua wangeweza kufanya lolote na kusingekuwa na yeyote wa kuwapa adhabu.

English

they know that when the regime will fall they will lose almost everything, because when the regime was in control they knew they could do anything and no one would punish them.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuwa bandari hiyo haikuwa mahali pazuri pa kukaa wakati wa baridi, wengi walipendelea kuendelea na safari, ikiwezekana mpaka foinike. foinike ni bandari ya krete inayoelekea kusini-magharibi na kaskazini-magharibi; na huko wangeweza kukaa wakati wa baridi.

English

and because the haven was not commodious to winter in, the more part advised to depart thence also, if by any means they might attain to phenice, and there to winter; which is an haven of crete, and lieth toward the south west and north west.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,906,379,383 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK