Ask Google

Results for watani wa jadi translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

watani wa jadi nini maana tusker

English

Watani wajadi

Last Update: 2021-02-26
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Lakini siku ya watani wa jadi wanapokutana Dar es Salaam hugawanyika katika pande mbili.

English

But on the day of the Dar es Salaam Derby, the city cleaves into two distinct clans.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Waliofanya hivyo walikuwa wakose ujio mkubwa katika historia ya mechi ya watani wa jadi.

English

Those who did were about to miss one of the greatest comebacks in the history of the Dar Derby.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Lakini siku za karibuni nimeanza kufuatilia maendeleo ya timu yangu ya kale na tena jumapili iliyopita baada ya kukosekana kwa muda mrefu, niliamua kwenda kutazama mechi hii ya watani wa jadi.

English

But recently I started monitoring my old team's progress again and last Sunday, after a long hiatus, I decided to go and watch the latest meeting between the old arch-rivals.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kufanya vikao na watalamu wa tiba mbadala wawli,wakunga wa jadi wa nne nan na wahudumu wa afya ngazi ya jamii 16 kwa dhumuni la kuwaleta mapema wagonjwa katika kituo cha kutolea huduma kwa matibabu wa siku tano ifikapo june 2018

English

to perform sessions with alternative veterinarian practitioners, four-year midwives and 16 community healthcare staff for the purpose of bringing patients to the treatment center for five-day treatment by June 2018

Last Update: 2017-10-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Sitamani kuwa sehemu ya bunge la katiba ambalo haliwakilishi dira na malengo ya Somalia”, alisema kiongozi wa jadi, Mohamed Hersi..

English

I do not wish to be part of a constituent assembly that does not represent Somalia’s vision and mission," said traditional elder Mohamed Hersi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

...Wagonjwa wa akili bado hutibiwa na waganga wa jadi, ambao lengo lao ni kuwatoa pepo wabaya kwa kuchoma ngozi, au kwa wafanyakazi wasio na ujuzi wa chumba kimoja cha kliniki za afya ambao huwapa kila kitu kutoka vidonge vya dawa ya kupunguza maumivu hadi dawa ya kikohozi.

English

...the mentally ill are still treated by traditional healers, who aim to drive out bad spirits by burning the skin, or by the untrained staff of one-room health clinics who prescribe everything from pain-relief tablets to cough syrup.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

Kwa mujibu wa chanzo cha habari kilichopo ndani ya serikali ya mpito ya shirikisho (FGM) kwa sasa imeruhusiwa na katiba mpya ya Somalia iliyopendekezwa, ambayo itawasilishwa kwa utekelezaji kwa baadhi ya “viongozi wa jadi” waliochanguliwa.

English

According to insiders FGM is now permitted by the newly proposed Somali constitution, which will be presented for adoption to selected "traditional leaders".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

Kizazi kimoja baada ya kingine, huu ndio utamaduni wetu wa jadi: utawala wa mabavu, utawala wa amri pamoja na kukosa uvumilivu wa upinzani, madhara ya utamaduni yanaenda kutushinda, demokrasia inaweza kuwepo baada ya karne moja zaidi.

English

One generation after another, this is our traditional culture: dictatorship, authoritarianism, and intolerance of opposition. The burdens of tradition are way too heavy; democracy might be another century away.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK