Şunu aradınız:: watani wa jadi (Svahili - İngilizce)

Bilgisayar çevirisi

İnsan çevirisi örneklerinden çeviri yapmayı öğrenmeye çalışıyor.

Swahili

English

Bilgi

Swahili

watani wa jadi

English

 

Kimden: Makine Çevirisi
Daha iyi bir çeviri öner
Kalite:

İnsan katkıları

Profesyonel çevirmenler, işletmeler, web sayfaları ve erişimin serbest olduğu çeviri havuzlarından.

Çeviri ekle

Svahili

İngilizce

Bilgi

Svahili

watani wa jadi nini maana tusker

İngilizce

watani wajadi

Son Güncelleme: 2021-02-26
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

lakini siku ya watani wa jadi wanapokutana dar es salaam hugawanyika katika pande mbili.

İngilizce

but on the day of the dar es salaam derby, the city cleaves into two distinct clans.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

waliofanya hivyo walikuwa wakose ujio mkubwa katika historia ya mechi ya watani wa jadi.

İngilizce

those who did were about to miss one of the greatest comebacks in the history of the dar derby.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

simba na yanga ni watani wa jadi sana lakini mwisho wake wanafurah ia maisha pamoja

İngilizce

traditional jokes

Son Güncelleme: 2022-06-16
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

lakini siku za karibuni nimeanza kufuatilia maendeleo ya timu yangu ya kale na tena jumapili iliyopita baada ya kukosekana kwa muda mrefu, niliamua kwenda kutazama mechi hii ya watani wa jadi.

İngilizce

but recently i started monitoring my old team's progress again and last sunday, after a long hiatus, i decided to go and watch the latest meeting between the old arch-rivals.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

sitamani kuwa sehemu ya bunge la katiba ambalo haliwakilishi dira na malengo ya somalia”, alisema kiongozi wa jadi, mohamed hersi..

İngilizce

i do not wish to be part of a constituent assembly that does not represent somalia’s vision and mission," said traditional elder mohamed hersi.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim
Uyarı: Görünmez HTML biçimlendirmesi içeriyor

Svahili

kufanya vikao na watalamu wa tiba mbadala wawli,wakunga wa jadi wa nne nan na wahudumu wa afya ngazi ya jamii 16 kwa dhumuni la kuwaleta mapema wagonjwa katika kituo cha kutolea huduma kwa matibabu wa siku tano ifikapo june 2018

İngilizce

to perform sessions with alternative veterinarian practitioners, four-year midwives and 16 community healthcare staff for the purpose of bringing patients to the treatment center for five-day treatment by june 2018

Son Güncelleme: 2017-10-27
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

...wagonjwa wa akili bado hutibiwa na waganga wa jadi, ambao lengo lao ni kuwatoa pepo wabaya kwa kuchoma ngozi, au kwa wafanyakazi wasio na ujuzi wa chumba kimoja cha kliniki za afya ambao huwapa kila kitu kutoka vidonge vya dawa ya kupunguza maumivu hadi dawa ya kikohozi.

İngilizce

...the mentally ill are still treated by traditional healers, who aim to drive out bad spirits by burning the skin, or by the untrained staff of one-room health clinics who prescribe everything from pain-relief tablets to cough syrup.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Svahili

kizazi kimoja baada ya kingine, huu ndio utamaduni wetu wa jadi: utawala wa mabavu, utawala wa amri pamoja na kukosa uvumilivu wa upinzani, madhara ya utamaduni yanaenda kutushinda, demokrasia inaweza kuwepo baada ya karne moja zaidi.

İngilizce

one generation after another, this is our traditional culture: dictatorship, authoritarianism, and intolerance of opposition. the burdens of tradition are way too heavy; democracy might be another century away.

Son Güncelleme: 2016-02-24
Kullanım Sıklığı: 1
Kalite:

Referans: Anonim

Daha iyi çeviri için
7,748,076,890 insan katkısından yararlanın

Kullanıcılar yardım istiyor:



Deneyiminizi iyileştirmek için çerezleri kullanıyoruz. Bu siteyi ziyaret etmeye devam ederek çerezleri kullanmamızı kabul etmiş oluyorsunuz. Daha fazla bilgi edinin. Tamam