From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na mwenyezi mungu ni mjuzi wa imani yenu. nyinyi mmetokana wenyewe kwa wenyewe.
god is aware of your faith: the one of you is of the other; so marry them with the consent of their people, and give them an appropriate dowry.
tutachukua muda huu kushiriki mipasho ya ziada, kujibu maswali yako na kuchukua muda wa kuunganika wenyewe kwa wenyewe.
we’ll use this time to share additional updates, answer your questions and spend some time connecting with each other.
na wale walio kufuru ni marafiki wenyewe kwa wenyewe. msipo fanya hivi itakuwako fitna katika nchi na fisadi kubwa.
and (as for) those who disbelieve, some of them are the guardians of others; if you will not do it, there will be in the land persecution and great mischief.
kuendelea kwa ghasia za kisiasa ni tishio kwa mchakato wa kidemokrasia katika nchi ambayo bado inarejea polepole kutoka kwa vita vya muda mrefu vya wenyewe kwa wenyewe
continued political violence is a threat to the democratic process in a country which is still slowly recovering from a devastating protracted civil war
janga la covid-19 ni jambo ambalo linafanya iwe wazi uhusiano wetu wa karibu wa binadamu duniani na uwajibikaji tunao wenyewe kwa wenyewe.
the covid-19 epidemic is something that makes clear our global human interconnectedness and the responsibilities we have to one another.
ghina ni mmoja wa maelfu ya watoto wasyria wanaokabiliana na madhara makubwa yatokanayo na vita vya wenyewe kwa wenyewe, ikiwa katika mwaka wake wa tatu sasa.
ghina is one of thousands of syrian children who are paying a heavy price in the civil war, now in its third year.
katika kipindi cha baada ya uhuru, afrika imekuwa na mchango wake wa kutosha kwenye mapinduzi na visasi vya kupindua waliopindua pamoja na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
in its post-independence existence, africa has had its fair share of coups and counter-coups and civil wars.
kwa vyovyote hatungethubutu kujiweka au kujilinganisha na wale watu wanaojisifia wenyewe. watu wenye kujifanya wao kuwa kipimo cha kujipimia, na watu wanaojilinganisha wenyewe kwa wenyewe, ni wapumbavu.
for we dare not make ourselves of the number, or compare ourselves with some that commend themselves: but they measuring themselves by themselves, and comparing themselves among themselves, are not wise.
katika hao iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia mnao washirika katika hivyo tulivyo kuruzukuni, mkawa nyinyi katika hivyo ni sawasawa, mnawaogopa kama mnavyo ogopana wenyewe kwa wenyewe?
do you have among those whom your right hands possess any partners in what we have provided for you so that you are equal therein would fear them as your fear of one another [within a partnership]?
je! katika hao iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia mnao washirika katika hivyo tulivyo kuruzukuni, mkawa nyinyi katika hivyo ni sawasawa, mnawaogopa kama mnavyo ogopana wenyewe kwa wenyewe?
do you have from among those whom your right hand possesses associates in what we have given you, who share it equally with you? do you fear them as you fear one another?
kwa kweli huko kushtakiana tu wenyewe kwa wenyewe kwabainisha kwamba mmeshindwa kabisa! je, haingekuwa jambo bora zaidi kwenu kudhulumiwa! haingekuwa bora zaidi kwenu kunyang'anywa mali yenu?
now therefore there is utterly a fault among you, because ye go to law one with another. why do ye not rather take wrong? why do ye not rather suffer yourselves to be defrauded?