From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na matunda wanayo yapenda,
and (they shall have) fruits,- all they desire.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
kuwa mtapata humo mnayo yapenda?
- that for you in it is whatever you like?
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
kila alipo wajia mtume kwa wasio yapenda nafsi zao wengine waliwakanusha na wengine wakawauwa.
as often as a messenger came unto them with that which their souls desired not (they became rebellious). some (of them) they denied and some they slew.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
niwezeshe nishukuru neema zako ulizo nineemesha mimi na wazazi wangu, na nitende mema unayo yapenda. na unitengenezee dhuriya zangu.
grant me that i may be grateful for thy favour which thou has bestowed upon me, and upon both my parents, and that i may work righteousness such as thou mayest approve; and be gracious to me in my issue.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
tulifanya agano na wana wa israili, na tukawatumia mitume. kila alipo wajia mtume kwa wasio yapenda nafsi zao wengine waliwakanusha na wengine wakawauwa.
certainly we made a covenant with the children of israel and we sent to them apostles; whenever there came to them an apostle with what that their souls did not desire, some (of them) did they call liars and some they slew.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
na mwenyezi mungu alikutimilizieni miadi yake, vile mlivyo kuwa mnawauwa kwa idhini yake, mpaka mlipo legea na mkazozana juu ya amri, na mkaasi baada ya yeye kukuonyesheni mliyo yapenda.
allah certainly fulfilled his promise to you when you were slaying them with his leave, until you lost courage, disputed about the matter, and disobeyed after he showed you what you loved.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
--kwa idhini ya mwenyezi mungu waliwatimua, na daudi akamuuwa jaluti, na mwenyezi mungu akampa daudi ufalme na hikima, na akamfundisha aliyo yapenda.
and so by the command of god they defeated them. david killed goliath, and god gave him kingship and wisdom, and imparted to him the knowledge of whatever he willed.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
--kwa idhini ya mwenyezi mungu waliwatimua, na daudi akamuuwa jaluti, na mwenyezi mungu akampa daudi ufalme na hikima, na akamfundisha aliyo yapenda. na lau kuwa mwenyezi mungu hawapambanishi watu kwa watu basi dunia ingeli haribika.
so they routed them by the command of allah; and dawud (david) slew jalut, and allah gave him the kingdom and wisdom, and taught him all whatever he willed; and if allah does not ward off some men by others, the earth will be destroyed, but allah is most munificent towards the entire creation.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality: