Results for yordani translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

yordani

English

jordan

Last Update: 2010-03-27
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

wakaziungama dhambi zao, naye akawabatiza katika mto yordani.

English

and were baptized of him in jordan, confessing their sins.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

wakati huo yesu alitoka galilaya akafika katika mto yordani, akamwendea yohane ili abatizwe naye.

English

then cometh jesus from galilee to jordan unto john, to be baptized of him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mambo haya yalifanyika huko bethania, ng'ambo ya mto yordani ambako yohane alikuwa anabatiza.

English

these things were done in bethabara beyond jordan, where john was baptizing.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

siku hizo, yesu alifika kutoka nazareti, mji wa galilaya, akabatizwa na yohane katika mto yordani.

English

and it came to pass in those days, that jesus came from nazareth of galilee, and was baptized of john in jordan.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, watu kutoka yerusalemu, kutoka mkoa wote wa yudea na sehemu zote za kandokando ya mto yordani, walimwendea,

English

then went out to him jerusalem, and all judaea, and all the region round about jordan,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, yohane akaenda katika sehemu zote zilizopakana na mto yordani, akihubiri watu watubu na kubatizwa ili mungu awaondolee dhambi.

English

and he came into all the country about jordan, preaching the baptism of repentance for the remission of sins;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

yesu alipomaliza kusema maneno hayo, alitoka galilaya, akaenda katika mkoa wa yudea, ng'ambo ya mto yordani.

English

and it came to pass, that when jesus had finished these sayings, he departed from galilee, and came into the coasts of judaea beyond jordan;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

"nchi ya zabuloni na nchi ya naftali, kuelekea baharini ng'ambo ya mto yordani, galilaya nchi ya watu wa mataifa!

English

the land of zabulon, and the land of nephthalim, by the way of the sea, beyond jordan, galilee of the gentiles;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

idumea, ng'ambo ya mto yordani, tiro na sidoni. watu hao wengi walimwendea yesu kwa sababu ya kusikia mambo mengi aliyokuwa ameyatenda.

English

and from jerusalem, and from idumaea, and from beyond jordan; and they about tyre and sidon, a great multitude, when they had heard what great things he did, came unto him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, wanafunzi hao wakamwendea yohane na kumwambia, "mwalimu, yule mtu aliyekuwa pamoja nawe ng'ambo ya yordani na ambaye wewe ulimshuhudia, sasa naye anabatiza, na watu wote wanamwendea."

English

and they came unto john, and said unto him, rabbi, he that was with thee beyond jordan, to whom thou barest witness, behold, the same baptizeth, and all men come to him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,770,756,898 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK