Results for zinafanya translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

sara zinafanya kazi

English

today was a day to le

Last Update: 2024-08-13
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa familia za kiislamu duniani kote zinafanya kitendo hiki, watu husherekea kwa namna tofauti.

English

although muslim families all over the world practice this tradition, people celebrate in very different ways.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna maji ya moto na kuta nene za karne ya 19 zinafanya hali ndani ya gereza hili iwe ya baridi na yenye unyevunyevu.

English

there is no hot water and the thick walls of the 19th-century prison keep its interior cold and damp.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, ni mambo gani yanachukuliwa kuwa utaratibu mzuri katika eneo hili na je kuna nchi ambazo huwa zinafanya jambo hili mara kwa mara?

English

what is considered good practice in this area and are there any countries that do this particularly well?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huduma 100 za kawaida ambazo kwa sasa zinafanya uchunguzi wa kila mwaka wa vairolojia ya homa ya mafua itahusika katika kuendelezwa kwa uchunguzi wa kivairolojia na serolojia.

English

the 100 general practices currently undertaking annual influenza virology surveillance will be involved in the extended virological and serological surveillance.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika nchi ya kidini ya vatican kanuni za kuachiana madaraka zinafanya kazi vizuri kuliko kwenye nchi ya "demokrasia ya kujitegemea" ...

English

in the theocratic nation of vatican the principle of transition of power works better than in the country of "sovereign democracy" ...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

baada ya miaka 50 ya kujitawala, ni aibu kuwa takwimu za uchumi wetu zinafanana na zile za nchi zenye machafuko vya vita, na nyingine zinafanya vizuri kuliko sisi katika maeneo mengi.

English

after 50 years of self-rule, it is shameful that our economic statistics are equivalent to war-torn countries, some of which are now doing better than us in many areas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vivyo hivyo, asasi isiyo ya kiserikali, mistinjo inaelekeza juhudi zake kwenye kujenga uwezo wa jamii za sehemu hiyo ambazo zinafanya kazi ya kupanda tena misitu na kuokoa gisi ya ukaa katika andasibe.

English

similarily, the malagasy ngo mistinjo has also focused its effort on capacity building of local communities that work towards forest restoration and carbon sequestration in andasibe.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, akawaambia watumishi wake, "mtu huyu ni yohane mbatizaji, amefufuka kutoka wafu; ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake."

English

and said unto his servants, this is john the baptist; he is risen from the dead; and therefore mighty works do shew forth themselves in him.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kimberly-clark, kampuni inayotengeneza kleenex toilet tissue na solaris paper inayotengeneza sorbent, zilisisitiza kwamba zilizkuwa zinafanya kazi saa 24/7 ili kudumisha usambazaji wa bidhaa, kulingana na ripoti ya news.com.au.

English

kimberly-clark, which makes kleenex toilet tissue, and solaris paper which makes sorbent, emphasized they were working 24/7 to maintain the supply, according to the news.com.au report.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,949,584,697 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK