Results for zinapatikana translation from Swahili to English

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

English

Info

Swahili

zinapatikana kwenye youtube kwa kupitia verdadetruth.

English

available on youtube by verdadetruth.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

taswira za moja kwa moja za setilaiti zinapatikana hapa.

English

direct satellite imagery is available here.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

taarifa zaidi zinapatikana kwenye gazeti la a verdade .

English

information on the a verdade newspaper.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

taarifa zaidi zinapatikana kwenyetaarifa yetu ya awali ya gv.

English

more information see gv's previous report.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

data chache zinapatikana kuhusu vidonda vidogo na pathofisiolojia ya covid-19.

English

few data are available about microscopic lesions and the pathophysiology of covid-19.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha zaidi kuhusian na janaga hili zinapatikana katika makala hii iliyoandaliwa na mwanablogu bishkhoy.

English

more pictures of the disaster are available in this post by blogger bishkhoy.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(taarifa zaidi za historia ya jambo hilo zinapatikana granite studio na chinageeks)

English

(more background information from granite studio and chinageeks)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari kama zinavyotokea (katika wakati halisi) mtandaoni zinapatikana kwa lugha ya kifaransa hapa.

English

live online reports can also be found in french here.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari zinapatikana katika lugha za kiingereza, kijerumani, na kifaransa katika mwonekano wa tovuti ya balkans.

English

the stories are available in english, german, and french on the face the balkans website.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha zaidi na taarifa zinapatikana kwa kufuata viungo habari #votoexteriorcr , #eleccionescr na #vivomivoto .

English

more pictures and reports on the hashtags #votoexteriorcr , #eleccionescr and #vivomivoto .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari zaidi kuhusu warsha hii zinapatikana kupitia ukurasa wa osiwa , katika mtandao wa facebookukurasa wa osiwa katika mtandao wa twita na ukurasa wa facebook wa shirika la vijana wenye ulemavu aywdn

English

there are photos, posts and tweets about the workshop on osiwa facebook page, osiwa twitter page and aywdn facebook page.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari za maandamano ya upinzani ya januari 25 ya vuguvugu la la vijana wa aprili 6 zinapatikana kwenye ukurasa huu wa facebook (ar).

English

a continuous coverage page is available for the january 25 protests on this april 6 youth movement facebook page (ar).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pamoja na kuwa hakuna nyenzo za kuweza kuonesha picha hizo zinapatikana wapi wala idadi ya wahanga, zifuatazo ni baadhi ya picha chache zinazoonesha namna miundo mbinu na makazi ya watu yalivyo athiriwa.

English

although there is no liable resources to confirm the locations of the photographs nor the number of victims, the next few pictures are just a sample to consider of how syria's infrastructure and residential areas have been affected.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huo huo, habari kamili ya kukamatwa, mashitaka na kufungwa kwa adnan hajizade na emin milli zinapatikana kwenye sehemu ya azerbaijan ya global voices online na kwenye blogu ya ol!

English

meanwhile, full coverage of the detention, trial and imprisonment of adnan hajizade and emin milli is available in the azerbaijan section of global voices online and on the ol!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

richard barrow: wanasema kuwa kuwa magari ya mizigo na mabasi mengi ya #mashatimekundu yamekuwa yakisimamishwa na kukaguliwa katika vizingiti vya polisi jambo ambalo linawachelewesha mamia ya picha za mashati mekundu zinapatikana kwenye mtandao kwa hisani ya richard barrow.

English

richard barrow: they are saying many of the #redshirt pickups and buses are being stopped and searched by police checkpoints which is delaying them hundreds of photos of the red shirts are accessible online courtesy of richard barrow.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama uko mbioni kwenda kwenye mapumziko na unafikiri kuchukua kompyuta yako na kuiunganisha na mtandao wa intaneti wa siwaya (wi-fi) au kutumia kompyuta ambazo zinapatikana kwenye hoteli au kwenye eneo lolote la umma, unahitaji kusoma makala hii yenye dondoo 13 za kulinda taarifa zako, kama ilivyochapishwa na andrea kwenye blogu yake:

English

if you are about to go on holiday and you are thinking of taking your computer and get connected to wi-fi or using computers that are available in hotels and other public places, you must read this post with 13 tips to protect data, as published by andrea on her blog:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari za moja kwa moja kuhusu maandamano na mapigano kutoka kyiv zinapatikana katika vyanzo kadhaa vya mtandaoani: spilnotv: http://www.ustream.tv/channel/16555296

English

live streams of the clashes and protests from kyiv are available on several online channels: spilnotv: http://www.ustream.tv/channel/16555296

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

data kuhusu kulazwa kwa wagonjwa wa visa vya covid-19 katika hospitali au kitengo cha kushughulikia wagonjwa mahututi kwa sasa zinapatikana kiwango cha eu/eea kwa 6% na 1% ya visa mtawalia (data haijaonyeshwa).

English

data on admission of covid-19 cases in a hospital and/or an intensive care unit are currently available at eu/eea level for only 6% and 1% cases, respectively (data not shown).

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makala ya subhashish panigrahi inaripoti (ikiwa imeandikwa kwa ushirikiano wa pavithra hanchagaiah na omshivaprakash) kwenye blogu ya wikimedia kwamba waandishi wawili wa wikimedia wakishirikiana na mtaalamu wa lugha ya ki-kannada wamegeuza beti 21000 za vachana sahitya katika mfumo wa unicode na hiyo kwa sasa zinapatikana kwneye wikisource, maktaba ya kidigitali ya mtandaoni ambayo ina maudhui ya nyenzo za maandishi yanayopatikana bure.

English

subhashish panigrahi reports (co-authored by pavithra hanchagaiah and omshivaprakash hi) in wikimedia blog that two wikimedians along with a kannada linguist have converted 21000 verses of vachana sahitya in unicode and made available in wikisource, an online digital library of free content textual sources.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK