From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
hawakuwa na umeme kama kawaida, nikamueleza juu ya maandamano na ghasia zinazotokea ukingo wa magharibi na mvua za kuungwa mkono zinazomwagika duniani kote.
they had no power, as usual, so i told him about the ongoing demonstrations and clashes in the west bank and the outpouring of support across the world.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alisema kuwa hawaruhusiwi kuhudumia asilimia takriban 80 ya simu zote zinazotokea kaskazini, amabpo ni sehemu za beit lahia, beit hanoun, na jabalia.
he said they are not being allowed to attend to about 80% of the calls from the north, covering the beit lahia, beit hanoun, and jabalia area.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jukwaa linalokusanya video kadri zinavyowekwa mtandaoni linaloitwa ustream linalota fursa ya kujiandikisha kufungua anuania mpya na pia kuzitangaza kwa ajili ya kuzitumia video hizo kwa ajili ya habari zinazotokea, uanaharakati na hata kwa matumizi ya mengine ya faida kwa jamii.
the live video streaming platform ustream is offering citizen journalists the opportunity to apply for free pro accounts and publicity for any innovative use of video for breaking news, activism, and social good.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ikiongozwa na mwandishi wa habari michael penn, mchangiaji wa al-jazeerawa mara kwa mara, anwani ya twita ya sna ni namna nzuri ya kubaki kuwa kinara wa kutangaza habari zinazotokea nchini japani.
headed by journalist michael penn, a frequent contributor to al-jazeera, the sna twitter feed is a good way to stay on top of breaking news in japan.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
katika kufanya hivyo, aliacha upenyo, kuwa kuna uwezekano wa kuwa watu fulani wanazaliwa mashoga (...) tabia zisizo za kawaida kwa binadamu na zinazotokea mara chache.
in doing so, he left a loophole, being that there was a possibility that certain people were ‘born homosexual (…) rare deviations in nature from the normal’.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
haijulikani wazi ikiwa hali zinazotokea wakati wa ujauzito ikiwemo ugonjwa wa kisukari, matatizo ya moyo, shinikizo la juu la damu zinaweza kuwakilisha sababu za hatari kwa watu wajawazito kama zinavyofanya kwa watu wasio wajawazito. kutoka wa data ndogo inayopatika, labda maambukizo ya ugonjwa hautatokea kwa mtoto wakati wa miezi mitatu ya mwisho, au hutokea mara chache sana.
it is unclear yet whether conditions arising during pregnancy including diabetes, cardiac failure, hypercoagulability or hypertension might represent additional risk factors for pregnant people as they do for nonpregnant people.from the limited data available, vertical transmission during the third trimester probably does not occur, or only occurs very rarely.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality: