Results for alikuja translation from Swahili to Estonian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Estonian

Info

Swahili

maana mwana wa mtu alikuja kuwaokoa wale waliopotea.

Estonian

sest inimese poeg on tulnud päästma seda, mis on kadunud.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alikuja katika nchi yake mwenyewe, nao walio wake hawakumpokea.

Estonian

ta tuli sellesse, mis tema oma, ja tema omad ei võtnud teda vastu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye hakuwa huo mwanga, ila alikuja tu kuwaambia watu juu ya huo mwanga.

Estonian

tema ei olnud valgus, vaid ta tuli tunnistama valgusest.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

petro alipokuwa bado chini ukumbini, mmoja wa wajakazi wa kuhani mkuu alikuja.

Estonian

ja kui peetrus oli all

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku ya sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja kusikiliza neno la bwana.

Estonian

aga järgmisel hingamispäeval kogunes peaaegu kõik linn kuulama jumala sõna.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ambaye alikuja kuwaambia watu juu ya huo mwanga. alikuja ili kwa ujumbe wake watu wote wapate kuamini.

Estonian

see tuli tunnistuseks, tunnistama valgusest, et kõlk usuksid tema kaudu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana yohane alikuja, akafunga na wala hakunywa divai, nao wakasema: amepagawa na pepo.

Estonian

sest johannes tuli, ei söönud ega joonud; ja nad ütlevad: temas on kuri vaim!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa maana yohane alikuja, yeye alifunga na hakunywa divai, nanyi mkasema: amepagawa na pepo!

Estonian

sest ristija johannes on tulnud, ja ta ei söönud leiba ega joonud viina; ja te ütlete: temal on kuri vaim!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana mwana wa mtu hakuja kutumikiwa, ila alikuja kutumikia, na kutoa maisha yake kuwa fidia ya watu wengi."

Estonian

sest inimese poeg ei ole tulnud ennast laskma teenida, vaid ise teenima ja andma oma hinge lunaks paljude eest!”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini atendaye dhambi ni wa ibilisi, maana ibilisi ametenda dhambi tangu mwanzo. lakini mwana wa mungu alikuja duniani kuiharibu kazi ya ibilisi.

Estonian

kes pattu teeb, see on kuradist; sest kurat teeb pattu algusest saadik. selleks on jumala poeg ilmunud, et ta tühistaks kuradi teod.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, kristo alikuja akahubiri habari njema ya amani kwenu ninyi watu wa mataifa mengine mliokuwa mbali na mungu, na pia kwa wayahudi ambao walikuwa karibu na mungu.

Estonian

ja tema tuli ning kuulutas rahu teile, kes kaugel olite, ja rahu neile, kes lähedal olid,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

usemi huu ni wa kuaminika, na tena unafaa kukubaliwa kabisa: kristo yesu alikuja ulimwenguni kuwaokoa wenye dhambi. nami ni mkosefu zaidi kuliko hao wote,

Estonian

ustav on see sõna ja kõigiti vastuvõetav, et kristus jeesus on tulnud maailma päästma patuseid, kelle seast mina olen suurim;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo, barnaba alikuja akamchukua saulo, akampeleka kwa mitume na kuwaeleza jinsi saulo alivyomwona bwana njiani na jinsi bwana alivyoongea naye. aliwaambia pia jinsi saulo alivyokuwa amehubiri bila uoga kule damasko.

Estonian

kuid barnabas võttis ta vastu ja viis ta apostlite juurde ja rääkis neile, kuidas tema teel olles oli issandat näinud ning temaga kõnelnud ja kuidas ta damaskuses oli avalikult kuulutanud evangeeliumi jeesuse nimel.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wote waliomsikia walishangaa, wakasema, "je, mtu huyu si yuleyule aliyewaua wale waliokuwa wanaomba kwa jina hili kule yerusalemu? tena alikuja hapa akiwa na madhumuni ya kuwatia nguvuni watu hao na kuwapeleka kwa makuhani!"

Estonian

aga kõik, kes teda kuulsid, ehmusid ning ütlesid: „eks see ole seesama, kes jeruusalemmas rüüstas selle nime appihüüdjaid ja on siia tulnud selleks, et neid kinni siduda ja viia ülempreestrite kätte?”

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,941,869,523 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK