Results for amefufuka translation from Swahili to Estonian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Estonian

Info

Swahili

wakisema, "hakika bwana amefufuka, amemtokea simoni."

Estonian

kes ütlesid: „issand on t

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hayuko hapa; amefufuka. kumbukeni aliyowaambieni alipokuwa kule galilaya:

Estonian

tema ei ole siin, vaid on üles t

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hayupo hapa maana amefufuka kama alivyosema. njoni mkaone mahali alipokuwa amelala.

Estonian

teda ei ole siin, sest ta on üles t

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipokuwa wakishuka mlimani, yesu aliwakataza wasimwambie mtu yeyote mambo waliyoyaona, mpaka mwana wa mtu atakapokuwa amefufuka kutoka wafu.

Estonian

ja kui nad mäelt alla läksid, keelas ta neid, et nad ühelegi ei jutustaks, mis nad olid näinud, enne kui inimese poeg on surnuist üles t

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini herode alipopata habari hizi alisema, "huyu ni yohane! nilimkata kichwa, lakini amefufuka."

Estonian

aga kui heroodes seda kuulis, ütles ta: „johannes, kelle pea ma otsast raiusin, on üles t

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini huyo kijana akawaambia, "msishangae. mnamtafuta yesu wa nazareti aliyesulubiwa. amefufuka, hayumo hapa. tazameni mahali walipokuwa wamemlaza.

Estonian

aga tema ütles neile: „Ärge kohkuge! te otsite jeesust naatsaretlast, kes oli risti löödud; ta on üles t

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sasa, mtawala herode, alipata habari za mambo yote yaliyokuwa yanatendeka, akawa na wasiwasi kwa vile walikuwa wakisema: "yohane amefufuka kutoka wafu!"

Estonian

aga nelivürst heroodes sai kuulda k

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nao wakamjibu, "wengine wanasema kuwa wewe ni yohane mbatizaji, wengine wanasema wewe ni eliya, hali wengine wanasema kuwa wewe ni mmoja wa manabii wa kale ambaye amefufuka."

Estonian

aga nemad vastasid ning ütlesid: „ristija johannese, aga m

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, mfalme herode alisikia juu ya hayo yote, maana sifa za yesu zilienea kila mahali. baadhi ya watu walikuwa wakisema, "yohane mbatizaji amefufuka kutoka wafu, ndiyo maana nguvu za miujiza zinafanya kazi ndani yake."

Estonian

ja kuningas heroodes sai kuulda jeesusest, sest ta nimi oli juba tuttav, ja ütles: „ristija johannes on surnuist üles t

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,141,544 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK