From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
basi, roho hao wakawakusanya hao wafalme mahali paitwapo kwa kiebrania harmagedoni.
ja need kogusid nad kokku ühte paika, mida heebrea keeles kutsutakse harmagedooniks.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
"na yule mwanamke uliyemwona ndio ule mji mkuu unaowatawala wafalme wa dunia."
ja naine, keda sa nägid, on suur linn, kelle käes on valitsus ilmamaa kuningate üle!”
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
watu wa mataifa watatembea katika mwanga wake, na wafalme wa dunia watauletea utajiri wao.
ja rahvad hakkavad käima tema valguses, ja ilmamaa kuningad toovad sinna oma auhiilguse.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wafalme wa dunia walijiweka tayari, na watawala walikutana pamoja, ili kumwasi bwana na kristo wake.
ilmamaa kuningad on kokku astunud ja ülemad on kogunenud ühte issanda vastu ning tema võitu vastu?”
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mtapelekwa mbele ya watawala na wafalme kwa sababu yangu, mpate kutangaza habari njema kwao na kwa mataifa.
ja teid viiakse minu pärast ka maavalitsejate ja kuningate ette, neile ja paganaile tunnistuseks.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wafalme wa dunia waliofanya uzinzi naye na kuishi naye maisha ya anasa wataomboleza na kulia wakati watakapoona moshi wa mji huo unaoteketea.
ja teda uluvad taga ja kaebavad ilmamaa kuningad, kes temaga on hooranud ja toredasti elanud, kui nad näevad tema põlemise suitsu,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wafalme wa dunia wamefanya uzinzi pamoja naye; na wakazi wa dunia wamelewa divai ya uzinzi wake."
kellega on hooranud ilmamaa kuningad ja kelle hooruse viinast on ilmamaa elanikud joobnuks saanud!”
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na mungu mwenye heri na aliye mtawala pekee, mfalme wa wafalme, na bwana wa mabwana.
mille omal ajal toob nähtavale õnnis ja ainus vägev valitseja, kuningate kuningas ja kõigi isandate issand,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha malaika wa sita akamwaga bakuli lake juu ya mto mkubwa uitwao eufrate. maji yake yakakauka, na hivyo njia ilitengenezwa kwa ajili ya wafalme wa mashariki.
ja kuues ingel valas välja oma kausi suure eufrati jõe peale, ja selle vesi kuivas ära, et tee oleks valmis kuningaile, kes tulevad päevatõusu poolt.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha nikaambiwa, "inakubidi tena kutangaza ujumbe wa mungu kuhusu watu wengi, mataifa, watu wa lugha nyingi na wafalme!"
ja minule öeldi: „sa pead veel ennustama rahvaste ja rahvahõimude ja keelte ja paljude kuningate kohta!”
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kati ya hao wafalme saba, watano wamekwisha angamia, mmoja anatawala bado, na yule mwingine bado hajafika; na atakapofika atabaki kwa muda mfupi.
viis on neist langenud, üks on alles, ja teine ei ole veel tulnud. kui ta tuleb, peab ta jääma natukeseks ajaks.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
"hapa panahitaji akili na hekima! hivyo vichwa saba ni vilima saba, na huyo mwanamke anaketi juu yake. vichwa hivyo pia ni wafalme saba.
siia kuulub mõistus, millel on tarkust. need seitse pead on seitse mäge, millel naine istub, ja on seitse kuningat:
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
watapigana na mwanakondoo, lakini mwanakondoo pamoja na wale aliowaita na kuwachagua, ambao ni waaminifu, atawashinda kwa sababu yeye ni bwana wa mabwana na mfalme wa wafalme."
nemad hakkavad sõdima tallega, ja tall võidab nad ära, sest tema on isandate isand ja kuningate kuningas, ja ühes temaga võidavad need, kes on kutsutud ja valitud ja ustavad!”
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
na kutoka kwa yesu kristo, shahidi mwaminifu, wa kwanza kufufuliwa kutoka wafu, na ambaye ni mtawala wa wafalme wa dunia. yeye anatupenda, na kwa damu yake ametufungua kutoka vifungo vya dhambi zetu,
ja jeesuselt kristuselt, kes on ustav tunnistaja, esmasündinu surnute seast ja maailma kuningate valitseja. temale, kes meid on armastanud ja meid on vabastanud meie pattudest oma verega,
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
njoni mkaitafune miili ya wafalme, ya majemadari, ya watu wenye nguvu, ya farasi na wapanda farasi wao; njoni mkaitafune miili ya watu wote: walio huru na watumwa, wadogo na wakubwa."
sööma kuningate liha ja ülemate pealikute liha ja vägevate liha ja hobuste ja nende seljas istujate liha ja kõigi vabade ja orjade ja pisukeste ja suurte liha!”
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting