Results for halmashauri translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

halmashauri

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

tutawasilisha pendekezo letu kwa halmashauri wiki ijayo na tutawafahamisha wajumbe na timu kuhusu hatua zifuatazo haraka iwezekanavyo kwa kuwa tuna uthibitisho.

French

nous présenterons notre proposition au conseil la semaine prochaine et nous informerons les délégués et les équipes des prochaines étapes dès confirmation.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, mitume wakatoka nje ya ule mkutano wa halmashauri wakiwa wamejaa furaha, kwani walistahili kuaibishwa kwa ajili ya jina la yesu.

French

les apôtres se retirèrent de devant le sanhédrin, joyeux d`avoir été jugés dignes de subir des outrages pour le nom de jésus.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

halmashauri ya jiji la firenze imejitolea kusaidia siku ya mandela na kuhamasisha raia wa florence kujihusisha katika vuguvugu hili la ulimwengu kwa ajili ya kutenda wema kwa kutia sahihi katika makubaliano yanayounga mkono kuwepo kwa siku ya mandela.

French

le conseil municipal de florence s’est ainsi engagé à soutenir la journée mandela et encourage tous les citoyens de florence à s’investir dans ce mouvement mondial pour le bien en adoptant une résolution pour la journée mandela.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kibuule alitoa matamshi hayo akiwa kwenye halmashauri ya kajara, wilayani ntungamo siku ya jumamosi septemba 21, 2013 wakati akihudhuria ufunguzi wa chama cha ushirika na akiba cha vijana wa kajara.

French

kibuule a formulé ces remarques dans le comté de kajara, district de ntungamo le samedi 21 septembre 2012, alors qu’il assistait au lancement de la société d'épargne et coopérative de développement des jeunes de kajara.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mitume walitii, wakaingia hekaluni asubuhi na mapema, wakaanza kufundisha. kuhani mkuu na wenzake walipofika, waliita mkutano wa baraza kuu, yaani halmashauri yote ya wazee wa wayahudi halafu wakawatuma watu gerezani wawalete wale mitume.

French

ayant entendu cela, ils entrèrent dès le matin dans le temple, et se mirent à enseigner. le souverain sacrificateur et ceux qui étaient avec lui étant survenus, ils convoquèrent le sanhédrin et tous les anciens des fils d`israël, et ils envoyèrent chercher les apôtres à la prison.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nchini italia, halmashauri ya jiji la firenze, kwa kushirikiana na jukwaa la mandela, wameandaa onyesho la picha za video kuhusu mandela, sinema na siku ya mandela, vyote hivyo vitarushwa katika jukwaa la mandela na vilevile katika eneo la wazi la kuonyeshea sinema la florence.

French

en italie, le conseil municipal de florence a, en partenariat avec le forum mandela, programmé de diffuser une vidéo sur m. mandela, le film invictus et la journée nelson mandela au forum mandela ainsi que dans un cinéma de plein air à florence.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,788,579,809 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK