Results for heshima translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

heshima

French

heshima

Last Update: 2022-12-14
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watu wanastahili heshima.

French

les gens ont leur dignité.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watu wengine huuza heshima zao mitaani,

French

certains vendent leur honneur dans la rue,

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

heshima kwako kwa kitendo ulichokifanya, mjomba.

French

chapeau bas pour ton combat, l'ami !

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

lakini yote yafanyike kwa heshima na kwa utaratibu.

French

mais que tout se fasse avec bienséance et avec ordre.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mekfoula brahim anawapa heshima wale wote walioshiriki maandamano hayo :

French

l’activiste mauritanienne makfoula ibrahim a salué les participants :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

5.sehemu ya 5 - mauaji kwa ajili ya kutunza heshima

French

5. episode 5 - crimes d'honneur

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

waziri mkuu ni mkuu wa serikali wakati mfalme ni mkuu wa heshima.

French

le premier ministre est chef du gouvernement tandis que le roi a une fonction de représentation.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

pendaneni kidugu; kila mmoja amfikirie mwenzake kwanza kwa heshima.

French

par amour fraternel, soyez pleins d`affection les uns pour les autres; par honneur, usez de prévenances réciproques.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hata hivyo, nampa heshima kwa ajili ya ujasiri wake wa kuwa mkweli.

French

cependant, respects sincères pour le courage.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

hupenda kusalimiwa kwa heshima sokoni na kupendelea kuitwa na watu: mwalimu.

French

ils aiment à être salués dans les places publiques, et à être appelés par les hommes rabbi, rabbi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

emily meyer, anayeblogu kwa ajili ya darasa lake la heshima, anasema:

French

emily meyer, bloguant pour son programme d'études spécialisées, dit :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

wapeni heshima kubwa na kuwapenda kwa sababu ya kazi wanayofanya. muwe na amani kati yenu.

French

ayez pour eux beaucoup d`affection, à cause de leur oeuvre. soyez en paix entre vous.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

yesu aliona jinsi wale walioalikwa walivyokuwa wanajichagulia nafasi za heshima, akawaambia mfano:

French

il adressa ensuite une parabole aux conviés, en voyant qu`ils choisissaient les premières places; et il leur dit:

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

na kwa heshima yangu yote huu ni ujinga wa ajabu, kupigana na uhalifu kwa makundi ya uhalifu.

French

et c'est au ministère de l'intérieur de qu'elle reproche toute l'affaire : et avec tout le respect qui est dù, ceci est grotesque, combattre un crime par une crime multiplié.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mwanablogu omar biden, aliandika makala fupi ya heshima kuhusu irfan khudi ali katika blogu yake:

French

le blogueur omar biden a écrit un bref post ou plutôt un hommage émouvant à irfan khudi ali sur son blog :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

barani afrika, wanablogu wanatoa heshima za mwisho kwa mfalme wa pop kwa kutundika picha na video za muziki.

French

en afrique, des blogueurs rendent hommage au roi de la pop en publiant des images et des vidéos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

jaribu kuangalia taswira hii: gwaride la heshima lenye wageni kutoka duniani kote na maandamano ya upinzani nyuma yake.

French

imaginez le tableau : le cortège avec les hôtes du monde entier, et une manifestation derrière.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katibu mkuu wa umoja wa mataifa ban ki-moon alisema watu wa historia mbalimbali za kiutamaduni wanahitaji kuthaminiwa utu wao na heshima.

French

le secrétaire général des nations unies, ban ki-moon, a déclaré que les personnes issues de milieux culturels différents devaient jouir de dignité et de respect.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

itachukua miaka mingi ya kazi ngumu, yenye kujaa ujasiri na unyoofu ili kuturejesha katika mfumo wa afya ulio wa heshima na wenye ufanisi.

French

cela prendra des années d'un travail dur, courageux et consciencieux pour que nous ayons à nouveau un système de santé respecté et efficace.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,787,392,760 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK