From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kikundi cha wataalam ilisema kuwa kila mtu ana haki ya mikakati ya kuokoa maisha na serikali ina jukumu hili.
le groupe d’experts a indiqué que tout le monde était en droit de bénéficier d’interventions de secours et que cette responsabilité incombait au gouvernement.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
kampuni inayotengeneza karatasi shashi kutokana na karatasi zilizotumika who gives a crap ilisema siku ya jumatano iliyopita kwamba waliuza bidhaa zao zote.
le fabricant de papier toilette recyclé who gives a crap a déclaré mercredi dernier qu’ils étaient en rupture de stock.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ilisema kuwa kuna hatari kubwa ya virusi kuenea katika mashirika zilizofungwa kama vituo vya vizuizi, ambayo pia hazikuwa na huduma za afya za kutosha.
l’organisation a déclaré qu’il existe un plus grand risque de propagation du virus dans les établissements clos comme les centres de détention, qui manquent également de soins médicaux.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
ikitumia ukurasa wake wa twita, wizara ya mambo ya ndani ilitoa mrejesho rasmi wa matukio yaliyotokea siku ya mwaka mpya, ilisema:
quant au ministère de l'intérieur, il a publié sur son compte twitter une réponse officielle relative aux événements du jour de l'an :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ilisema kuwa mengi ilikuwa bado kugunduliwa kuhusu covid-19, na kuwa australia ingesisitiza udhibiti wa mipaka na mawasiliano katika itikio yake kwa janga kubwa.
il indiquait que tout restait encore à découvrir sur la covid-19 et que l’australie accentuerait son contrôle frontalier et sa communication dans sa réponse face à la pandémie.
Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:
namna nyingine ya mtazamo huu ilisikika katika uchambuzi wa tovuti ya somalia newsroom, ilisema kwamba shambulio la westgate lilikuwa ni shambuli la kisasi lisilokwepeka kufuatia operesheni ya kenya inayoendelea somalia.
une version partagée par l'analyse du site web somalia newsroom, qui explique que l'attaque de westgate attack était l'inévitable contre-coup de l'intervention incessante du kenya en somalie.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya kusababisha mshangao kote barani afrika kwa matamshi aliyoyatoa mbele ya vyombo vya habari siku moja kablda, elysée ilisema "inalaani ghasia zozote na inaunga mkono uhuru wa kujieleza. anatoa mfano wa hotuba yake aliyoitoa jijini dakar mnamo novemba 29, 2014 alizungumzia matarajio yake kwa katiba zote kuheshimiwa na zoezi la kuwasikiliza wapiga kura kufanyika katika mazingira yenye uwazi wa kutosha."
dans un communiqué tardif, après des propos tenus la veille qui avaient déçu toute l’afrique, l’elysée « condamne toute violence et soutient la liberté d’expression. rappelle qu’il avait souhaité, lors de son discours prononcé à dakar, le 29 novembre 2014, que les constitutions soient respectées et que les consultations électorales se tiennent dans des conditions de transparence incontestables. »
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting