Results for iliyozinduliwa translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

iliyozinduliwa

French

lancé

Last Update: 2021-10-02
Usage Frequency: 5
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

katika makala ya maoni kwenye blogu mpya ya habari kwa lugha ya kiingereza iliyozinduliwa, inge snip anapiga kengele za tahadhari.

French

dans une contribution à ce tout nouveau blog d’informations anglophone, inge snip tire la sonnette d’alarme.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

moja wapo ya miradi iliyozinduliwa hivi karibuni kwa lengo hilo ni maombi ya mtandaoni ikiwataka viongozi wa vyama vinavyoshiriki uchaguzi huo kushiriki midahalo ya moja kwa moja kupitia televisheni za nchi hiyo.

French

l'une des initiatives lancées récemment est une pétition en ligne exigeant des dirigeants des partis qu'ils prennent part à des débats en direct retransmis par la télévision.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kampeni ya djakpata, iliyozinduliwa mapema mwezi april 2013 na wizara ya mambo ya ndani, ulinzi na dini ya benin, inadhamiria kuwasaka wahalifu wote wanaojihusisha na shughuli zote zisizo halali na ambazo zinaweza kuleta usumbufu kwa watu wa benin.

French

depuis son lancement par le ministre de sécurité publique et des cultes, l'opération djakpata a pour objectif de traquer tous les criminels, menant des activités illégales pouvant toucher à la quiétude de la population béninoise.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

sera mpya ya elimu iliyozinduliwa na rais jakaya kikwete mnamo februari 13, 2015, inayokwenda sambamba na mpango wa taifa kuelekea 2025 inarefusha elimu za msingi kutoka miaka saba ya sasa mpaka miaka 11, na kuifanya elimu hiyo kuwa bure ikiwa ni pamoja na kuondoa mtihani wa taifa kwa wahitimu wa elimu ya msingi kuingia sekondari.

French

lancé le 13 février 2015 par le président jakaya kikwete dans le cadre du national vision 2025 , le nouveau système éducatif va être étendu à l'enseignement primaire (de 7 à 11 ans). il met notamment fin aux examens nationaux et réintroduit la gratuité de l'éducation dans l'école primaire.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
7,780,046,679 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK