Results for inayoendeshwa translation from Swahili to French

Swahili

Translate

inayoendeshwa

Translate

French

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

ni nchi ya kifalme inayoendeshwa kidemokrasia.

French

c'est une monarchie constitutionnelle.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

fikira zangu ni blogu ya kikenya inayoendeshwa na bonyo boungha anthony anayeishi nairobi, kenya.

French

rethabile masilo, dirige le blog poéfrika.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

elimu ya shahada ni elimu inayoendeshwa baada ya elimu ya shule ya upili na kabla ya elimu za uzamifu, ambapo wanafunzi wanafuzu kwa shahada ya kwanza.

French

les études de premier cycle universitaire correspondent à l’éducation reçue après l’enseignement secondaire et avant les études universitaires supérieures, pour lesquelles l’étudiant reçoit généralement une licence.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya maendeleo ya kidunia inayoendeshwa na jarida la uingereza la the guardian inaendelea kuandika habari za kugawa ardhi baada ya kuwekwa wazi kwa taarifa kuu za umma zinazohusu mgawanyo wa ardhi mwezi aprili.

French

suite à la publication en avril de la plus grande base de données publique sur les transactions internationales de terres, le blog "global development" hébergé par le journal brittannique the guardian continue sa série de reportages sur l'accaparement de terres.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ungejisikiaje kama unaamka siku moja, unajikuta ulikuwa unaishi kwenye nchi ya 'mazombi' inayoendeshwa na jeshi bila kuongozwa na sheria wala haki na uhuru wa kiraia

French

comment vous sentiriez-vous si vous vous réveilliez un matin et réalisiez que vous vivez dans une république bananière gouvernée par une junte militaire, privée d'état de droit et de libertés individuelles.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuzingatia mjadala ulioanzishwa na marekebisho ya sera ya huduma za afya ya jamii nchini marekani na kujiondoa taratibu kwa nchi ya ufaransa kutoka kwenye mipango ya jamii inayoendeshwa kwa kodi za wananchi, mtu anaweza kudhani kwamba hifadhi ya jamii ni dhana inayoanza kupitwa na wakati.

French

au regard de la polémique engendrée par la réforme de l'assurance maladie aux etats-unis et au désengagement progressif de l'état en matière d'action sociale en france, on pourrait croire que la protection sociale est un concept en voie de disparition.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya kufuatilia shauri la zone9, inayoendeshwa na watu walio karibu na washitakiwa hao, iliripoti kwamba mashitaka yao ni pamoja na kufanya kazi na mashirika yaliyopewa jina la 'magaidi' na serikali ya ethiopia; kushiriki kwenye mafunzo ya kuandika barua pepe kwa lugha ya siril na "kuwa na mipango ya siri."

French

le blog zone9 trial tracker, citant des sources proches des accusés, précise qu'il leur a été reproché d'avoir travaillé avec des organisations qualifiées de “terroristes” par le gouvernement éthiopien, d'avoir participé à une formation au chiffrement des emails et d'appartenir à une "organisation clandestine".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,927,575,363 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK