Results for kamwe translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

kamwe haitopewa uzito nchini marekani.

French

cela ne va jamais faire vendre aux États-unis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

atakumbukwa sana na kwa kweli hatasahaulika kamwe.

French

il va beaucoup nous manquer mais on ne l'oubliera jamais.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kamwe hatutageuza sheria kuvibariki vitendo kama hivyo.

French

nous ne dépénaliserons jamais de tels actes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawakupata kamwe kuwa waongo; hawana hatia yoyote.

French

et dans leur bouche il ne s`est point trouvé de mensonge, car ils sont irrépréhensibles.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tusisahau kamwe kwamba ni wajibu wetu kulinda mazingira haya.

French

nous ne devons jamais oublier qu’il est de notre devoir de protéger cet environnement.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, licha ya shinikizo lao, kamwe hakuacha misimamo yake

French

et malgré la pression qu'il subissait il n'a jamais renié de ses principes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ingawa wanataka kuponda mlima huo, kamwe hawawatoweza kufanya hivyo.

French

bien qu'ils aient toujours souhaité détruire cette montagne, ils n'ont jamais réussi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sata amefanya kile ambacho mtangulizi wake rupia banda asingeweza kamwe kukifanya.

French

son excellence sata a fait ce que rb et d'autres présidents ne pourront jamais faire.

Last Update: 2023-11-18
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naam, mbingu na dunia zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.

French

le ciel et la terre passeront, mais mes paroles ne passeront point.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala usisema kamwe kwa jambo lolote lile: hakika nitalifanya hilo kesho -

French

et ne dis jamais, à propos d'une chose: «je la ferai sûrement demain»,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walinzi wakawajibu, "hakuna mtu aliyepata kamwe kusema kama asemavyo mtu huyu!"

French

les huissiers répondirent: jamais homme n`a parlé comme cet homme.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naye baba aliyenituma hunishuhudia. ninyi hamjapata kamwe kusikia sauti yake, wala kuuona uso wake,

French

et le père qui m`a envoyé a rendu lui-même témoignage de moi. vous n`avez jamais entendu sa voix, vous n`avez point vu sa face,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aandishe alitafakari juu ya janga hilo,akishangaa kwa nini kamwe hawajifunzi na makoza ya uzoefu:

French

aandishe médite sur la tragédie, et se demande pourquoi les leçons ne sont jamais tirées des erreurs :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu zangu, mkiwa mnamwamini bwana yesu kristo, bwana wa utukufu, msiwabague watu kamwe.

French

mes frères, que votre foi en notre glorieux seigneur jésus christ soit exempte de toute acception de personnes.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kamwe hawataweza kuweka mabuti yao juu ya utu wetu, kamwe hawatojaribu kudhalilisha uadilifu wetu wa kiakili na kimwili.

French

plus jamais ils ne doivent poser leurs bottes sur notre dignité, ne plus jamais essayer d'attenter à notre intégrité psychophysique.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wangeweza kuniita jina langu la kwanza, lakini ningeona kama maajabu kama ningekuwa naitwa kwa jina ambalo sikuwahi kulisikia kamwe.

French

ils emploient mon "prénom" mais cela me semble bizarre de me faire appeler par un nom que je n'ai jamais entendu avant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ndiyo maana nawaambieni, wema wenu usipozidi ule wa mafarisayo na walimu wa sheria, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.

French

car, je vous le dis, si votre justice ne surpasse celle des scribes et des pharisiens, vous n`entrerez point dans le royaume des cieux.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@themiinz: misri sio tunisia kwasababu kamwe hutomuona afisa yeyote akitokwa chozi kwa uchungu wa mashahidi wanaokufa.

French

@themiinz: l'egypte n'est pas la tunisie car on ne verra jamais aucun de nos responsables verser de larme sur les martyrs.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ikiwa wanasiasa na viongozi wataendelea kuwa wabinafsi namna hii, basi nachelea kuwa uchumi mbaya wa ghana hautagomboka kamwe na tutaendelea kuwa nchi maskini ya ulimwengu wa tatu.

French

si nos politiciens et les dirigeants continuent à être à ce point égoïstes, alors, j'ai peur que la mauvaise économie du ghana ne se relève jamais et que nous continuerons à être un pays pauvre du tiers-monde.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kyaw zwa moe, mhariri wa jarida la irrawaddy, alibainisha jinsi ambavyo win tin hakupata kamwe kuafikiana na serikali ya junta licha ya afya yake kudhoofika:

French

kyaw zwa moe, rédacteur en chef de l'irrawaddy magazine, fait remarquer que win tin n'a jamais fait de compromis avec la junte au pouvoir malgré sa santé déclinante:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,947,588,447 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK