From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
vitisho vya kuuwawa vinatumwa kwa wale wanaopinga vitendo vichafu vya uchaguzi.
menaces de mort à ceux qui dénoncent des violations du code électoral.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sema: kukimbia hakukufaeni kitu ikiwa mnakimbia mauti au kuuwawa, na hata hivyo hamtastareheshwa ila kidogo tu.
dis: «jamais la fuite ne vous sera utile si c'est la mort (sans combat) ou le meurtre (dans le combat) que vous fuyez; dans ce cas, vous ne jouirez (de la vie) que peu (de temps)».
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
mnamo tarehe 18 machi mwaka 2009, omid reza mir sayafi alikuwa mwanablogu wa kwanza kuuwawa katika mazingira ya kutatanisha katika gereza nchini irani.
le 18 mars 2009, omid reza mir sayafi est devenu le premier blogueur à mourir dans des circonstances suspectes dans une prison iranienne.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakawake wengi nchini bangladeshi wako kwenye hatari ya kufanyiwa dhuluma kama vile ubakaji, kuuwawa, kuchezewa, mahari na hata kumwagiwa tindikali.
les femmes et les jeunes filles au bangladesh peuvent être victimes de divers types d'agressions dont les viols, le "eve teasing" (harcèlement sexuel), les dots injustes et les agressions à l'acide, ou même d'assassinats.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
je ni mimi, au ni uchafuzi wa aina ya ajabu kuunganisha kupigwa na kuuwawa kwa wahindi nchini australia na sera za sasa kuhusiana na uuzaji wa madini ya uranium kwa india?
comment quiconque peut-il dire que ça n'a rien à voir avec la race tout en ignorant les circonstances du meurtre, voilà qui est difficile à saisir, comme je l'ai déjà dit.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mashuhuda walisema kwamba vitendo hivyo vilisababisha walau kuuwawa kwa watu 20 (wengine waliuwawa kwa mabomu ya kutupa kwa mkono na risasi za moto).
d'après des témoins, plusieurs tireurs d'élite ont tué au moins 20 personnes (les autres victimes ont été tuées par l'explosion de grenades ou les incendies).
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
“mauaji ya kinyama yaliyofanywa dhidi ya mfanyakazi wa ndani mwenye umri wa miaka 12, anayesaidikiwa kuuwawa na mwajiri wake mwenye nafasi kubwa, yameuacha umma wa nchi hii mdomo wazi.
le meurtre brutal d'une petite bonne âgée de douze ans, qui aurait été tuée par son puissant employeur, a stupéfié le pays.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
basi malipo ya wale wanao mpiga vita mwenyezi mungu na mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi.
la récompense de ceux qui font la guerre contre allah et son messager, et qui s'efforcent de semer la corruption sur la terre, c'est qu'ils soient tués, ou crucifiés, ou que soient coupées leur main et leur jambe opposées, ou qu'ils soient expulsés du pays.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
kiongozi wa serikali isiyo rasmi wa guinea, aliyetengwa na jumuiya ya kimataifa tangu kuuwawa na kubakwa kwa waandamanaji wa upinzani kulikofanywa na maaskari tarehe 28 septemba, alisafirishwa kwa ndege kwanda nchini morocco, ambako aliwasili katika majira ya saa 9 alasiri gmt.
le chef des autorités de facto de la guinée mises au ban de la communauté internationale depuis les massacres et les viols du 28 septembre dernier, a été évacué sur le maroc où il est arrivé vers 15 heures.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
maduka yanayomilikiwa na raia wa indonesia wenye asili ya uchina yalichomwa moto na watu wenye hasira, baadhi ya wanawake walibakwa, waandamanaji wanafunzi walitekwa nyara na kuuwawa kwa risasi, na mwishoni, rais aliyetawala indonesia kwa miaka mingi zaidi, suharto alilazimika kujiuzulu.
des magasins d'indonésiens originaires de chine furent brûlés par une foule en colère, des femmes violées, des manifestants étudiants enlevés et assassinés, et suharto, qui fut le président indonésien le plus longtemps en exercice, dut finalement démissionner.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: