Results for misukosuko translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

misukosuko

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

ewe mola wetu mlezi! usitufanye wenye kutiwa misukosuko na hao watu madhaalimu.

French

o notre seigneur, ne fais pas de nous une cible pour les persécutions des injustes.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huo huo, waandishi wa habari na vyombo vya habari vimekuwa vikipata misukosuko na kutishwa.

French

dans le même temps, les journalistes et les médias ont également fait face à des menaces et à de la violence.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hali ya siasa za uturuki ipo katika misukosuko kufuatia kushindikana kwa jaribio la davutoglu la wiki jana la kuunda serikali ya mseto.

French

le paysage politique turc est volatil depuis que les tentatives de m. davutoglu de monter un gouvernement de coalition ont échoué la semaine dernière.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, siku hii ilibadilika na kuwa ya misukosuko zaidi kuliko ile ya maandamano ya awali kutokana na waandamanaji hao kukabiliana vikali na polisi.

French

cependant, contrairement à la veille, la journée a été marquée par des affrontement entre les crs et les manifestants.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanablogu kadhaa wametoa maoni kuhusu ujumbe huo, na wengine wanaanza kuziona zama mpya baada ya zaidi ya miaka 30 ya misukosuko kati ya mataifa haya mawili.

French

plusieurs blogueurs ont réagi à ce message, où certains voient l'ouverture d'une nouvelle ère dépassant les 30 années de chamailleries et de chicanes entre les deux pays.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapana shaka yoyote mtapata misukosuko katika mali zenu na nafsi zenu, na bila ya shaka yoyote mtasikia udhia mwingi kutokana na walio pewa kitabu kabla yenu na wale walio shiriki.

French

certes vous serez éprouvés dans vos biens et vos personnes; et certes vous entendrez de la part de ceux à qui le livre a été donné avant vous, et de la part des associateurs, beaucoup de propos désagréables.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, mtakaposikia habari za vita na misukosuko, msitishike; maana ni lazima hayo yatokee kwanza, lakini mwisho wa yote, bado."

French

quand vous entendrez parler de guerres et de soulèvements, ne soyez pas effrayés, car il faut que ces choses arrivent premièrement. mais ce ne sera pas encore la fin.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

inadhihirika, kwamba raisi huyu, ambaye hajapata matokeo yoyote mazuri, anataka kuwafanya wananchi wake - na hili linawafurahisha watu wengi wa magharibi wakati huu usiotabirika wa misukosuko - kuwa ni wajinga na wasiojua kazi.

French

apparemment ce président en mal de résultat positif veut faire passer, et cela plait beaucoup aux occidentaux en ces moments incertains de crise, son peuple comme un ramassis de crétins et d´incapables.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,708,335 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK