Results for ninaweza translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

ninaweza

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

ninafuraha sana ninaweza kusema kwa lugha ya mohawk.

French

je suis si heureuse de pouvoir parler mohawk.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninaweza kuiona ikitokea katikati ya kifua chako kuelekea kwenye shingo lako

French

je vois que ça part du centre de votre poitrine et que ça remonte vers votre nuque

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninaweza kunusa harufu ya ushindi maili chache hivi kwa mcheza kriketi huyu.

French

je peux renifler à un mile de distance une victoire pour la batte de cricket.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

“vyombo vya habari vya kijamii ninaweza kusema vinawapa watanzania sauti yao wenyewe.

French

"les médias sociaux peuvent donner aux tanzaniens une voix publique.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ninaweza kuona kwa nini baadhi ya wazambia wana sababu ya kuwa na wasiwasi na afya ya wagombea urais.

French

je comprends que certains zambiens se préoccupent de la santé des candidats à la présidentielle.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa ninaweza kuelewa kile walichokimaanisha wa-rundi walipomwambia nkurunziza kwenda uganda kama alitaka kuwa rais wa maisha

French

maintenant, je comprends ce que les burundais voulaient dire quand ils criaient #nkurunziza va en ouganda, s'il voulait la présidence à vie

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kusoma magazeti ninaweza kuhisi kwamba felix aliwekewa mtego, na aliwekewa mtego huo na mtu anayemuamini.

French

après avoir lu les compte-rendus des journaux, je pense que félix a été entrainé dans un guet-apent par une personne en qui il avait confiance.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama kipindi hicho kingetengenezwa mwaka 2001, ninaweza kufikiria athari zake, tofauti na zile tulizoziona hivi sasa.”

French

si cette émission avait été réalisée en 2001, je pense que l'effet aurait été immédiat, contrairement à ce qui se passe aujourd'hui.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakasema, "mtu huyu alisema: ninaweza kuliharibu hekalu la mungu na kulijenga tena kwa siku tatu."

French

celui-ci a dit: je puis détruire le temple de dieu, et le rebâtir en trois jours.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

pengine ninaweza kumshawishi aandike makala nyingine, lakini sina hakika kwa sababu inaweza ikawa ni bora tu kuacha mambo kama yalivyo badala ya kufanya yachambuliwe tena.

French

je pourrais peut-être le convaincre d'écrire un autre billet, mais je n'en suis pas sûre, parce qu'il vaut sans doute mieux s'arrêter là, pour ne pas se déchirer à nouveau.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninaweza kukubaliana kwamba mills amekuwa mzito kwenye jambo moja tu, yaani, kutokuwatia nguvuni wauaji wa molbila mapema januari 2009 na hata mmoja wao akatoroka.

French

je peux convenir que m. mills a été lent dans une chose uniquement, qui a été de ne pas arrêter les meurtriers de molbila au début de janvier 2009 pour que pas un seul d'entre eux ne prenne la fuite.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kuongezea, na kwa kushauriana na mkurugenzi wa ofisi ya huduma za dharura ya gavana, ninaweza kuteau sekta za ziada kuwa muhimu ili kulinda afya na maslahi ya wana california wote.

French

en outre, et en concertation avec le directeur du bureau des services d’urgence du gouverneur, je peux désigner des secteurs supplémentaires comme critiques afin de protéger la santé et le bien-être de l’ensemble des californiens.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mijini ninaweza kusema kwamba idadi kubwa ya watu angalau wamejiunga na facebook, na kwa kupitia viunga vya facebook labda wana uwezekano wa kuunganishwa moja kwa moja na blogu/uandishi wa kuraia kuliko watu wanaoishi magharibi…

French

dans les villes, je dirais qu'une grande proportion de la population est au moins sur facebook, et via des liens sur facebook a probablement beaucoup plus d'accès direct aux blogs/au journalisme citoyen que les personnes vivant en occident...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lara (@farawlalawra) aliiona habari hiyo kuwa nzuri, bila kujali ikiwa ameshawishika kumpigia kura ama la: @farawlalawra: @basboussa1 ninajisikia fahari na furaha unagombea –ni hatua moja mbele kuifungua jamii kuelekea kwenye haki sawa (hata kama ninaweza nisikupigie kura wewe)

French

@farawlalawra: @basboussa1 je suis si fière et contente que vous soyez candidate - c'est un pas en avant pour ouvrir la société à l'égalité des droits.(même si je ne voterai pas forcément pour vous)

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,776,870,635 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK