From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
tazama ramani kubwa zaidi
agrandir la carte
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
erik hersmann anaeleza mantiki ya ramani:
erik hersmann explique la logique derrière la carte :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ramani hizo zinahaririwa na kuwekewa habari mpya.
elles sont révisées et mises à jour en permanence.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ramani ya google ikionesha jimbo la angelo:
la carte google de la circonscription de alengo
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
majibu hutafsiriwa kwa kiingereza na kupachikwa kwenye ramani.
les réponses sont traduites en anglais et marquées sur une carte.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ramani nyingine ikionyesha maeneo yalioathiriwa na mvua na mafuriko.
une autre carte montrant les zones touchées par les pluies et les inondations.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mradi— kuchora ramani za kufuatilia matukio nchini niger
le projet - cartographions le niger
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ramani hizi zaonesha mahali walipotesewa na kuuawa wanahabari wa kambodia
une carte de la répression contre les journalistes cambodgiens
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
anaweka ramani ya matokeo na kuongeza dokezo la wizi wa kura:
il publie une carte des résultats et ajoute une réflexion sur la fraude électorale :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ramani ikionyesha adhabu zilizokusudiwa kwa mashoga na wasagaji nchini afrika.
une carte montrant les peines réservées aux gays et lesbiennes en afrique.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ramani hiyo inatofautishwa kwa rangi ili kuonyesha uwingi was watu katika maeneo hayo.
différentes couleurs reflètent la densité de la population.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ramani inayoonyesha kesha za kuonyesha ushikanamo na wanatibeti tarehe 8 februari, 2012.
toutefois, les droits de l’homme fondamentaux sont refusés aux tibétains, l’environnement fragile est en train d’être détruit, la langue et la culture tibétaines, assimilées, les portraits du dalaï lama, interdits, et les tibétains économiquement marginalisés.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
haiti: ramani za kwenye mtandao zaonyesha uharibifu pamoja na jitihada za kusambaza misaada
haïti : après l'évaluation des dégâts, cartes et photos-satellite orientent les secours
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
picha ya mchoro: ramani ikionesha eneo ilikoanguka ndege ikiw ni pamoja na njia ya ndege mh17
infographie: lieu du crash, et plan de vol du vol mh17 - pic.twitter.com/jkpwujav8u
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jumla ya lugha 780 ambazo hazikuwa zimehifadhiwa nchini india sasa zimewekwa kwenye ramani na kuhifadhiwa mtandaoni .
780 langues d'inde, jusqu'à présent non répertoriées, ont été cartographiées et archivées en ligne.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
2007/2 kwenye ramani za google, kuna mji wa kichina uliopwekewa jina kutoka enzi za uvamizi wa japani
maintenant, regardons la version chinoise de la même dépêche, largement citée et en circulation sur l'internet chinois, publiée le 16 janvier sur le site chinois bullogger.com :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mtumiaji wa twita @oohamazaki anakusanya ramani za google ili kuonyesha sehemu zilizo salama katika jiji la tokyo.
l'utilisateur de twitter, @oohamazaki rassemble des données sur une carte google quant à de possibles points d'évacuation dans la zone de tokyo.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mafunzo ya openstreetmap ya uwekaji ramani na femmes & tic niger (iliyoanzishwa na fatima alher).
atelier sur la cartographie openstreetmap avec femmes & tic niger (créé par fatima alher) via mapping for niger sur facebook
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
gazeti la nytimes limetengeneza ramani ya pande tatu yenye ufanisi mkubwa katika kuelewa ni wapi mji wa port au prince ulipo kiuhusiano na miamba ya haiti.
le new york times a élaboré une carte tri-dimensionnelle très utile pour comprendre où se trouve port-au-prince par rapport à la géologie de haïti.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hivi karibuni, ramani za ushahidi zilitumika nchini haiti baada ya tetemeko la ardhi kuikumba nchi hiyo, vilevile baada ya tetemeko nchini chile.
plus récemment, les cartes d'ushahidi ont été utilisées à haïti après le tremblement de terre qui a dévasté le pays, ainsi qu'au chili après le séisme.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: