Results for ulinzi translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

huko ulinzi ni wa mwenyezi mungu wa haki tu.

French

en l'occurrence, la souveraine protection appartient à allah, le vrai.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na tukaipamba mbingu ya chini kwa mataa na kwa ulinzi.

French

et nous avons décoré le ciel le plus proche de lampes [étoiles] et l'avons protégé.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@amirahoweidy: morsi yuko chini ya ulinzi nyumbani kwake.

French

@amirahoweidy: morsi aux arrêts domiciliaires.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kikosi cha ulinzi kikiwasili kwenye eneo lililokubwa na tsunami nchini japan.

French

les forces de sécurité arrivent sur les lieux dévastés par le tsunami, au japon.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lazima kuwe na ulinzi dhidi ya unyanyasaji na haki ya raia kushugulikia unyanyasaji;

French

il faudrait prévoir des protections contre les abus et des recours pour les citoyens en cas d’abus ;

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msiwatawale kwa mabavu hao waliowekwa chini ya ulinzi wenu, bali muwe mfano kwa hilo kundi.

French

non comme dominant sur ceux qui vous sont échus en partage, mais en étant les modèles du troupeau.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini elsie hakubaliani na dhana kwamba ni ufaransa pekee ndiyo inayoweza kutoa ulinzi huo.

French

mais elsie n'adhère pas à l'idée que seule la france peut offrir ce type de protection.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hawa daima hufanyiwa dhuluma za kingono kwa sababu huwalazimu kulala mitaani pasipo kuwa na ulinzi wowote.

French

ils sont victimes d'agressions sexuelles de différentes manières, étant obligés de rester dans les rues en pleine nuit.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wale walio amini lakini hawakuhama, nyinyi hamna waajibu wa ulinzi kwao hata kidogo mpaka wahame.

French

quant à ceux qui ont cru et n'ont pas émigré, vous ne serez pas liés à eux, jusqu'à ce qu'ils émigrent.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chini ya sheria ya kongo, polisi wanawajibu wa kutoa ulinzi na kuhakikisha umma unafanya maandamano kwa utulivu.

French

selon la loi congolaise, la police nationale congolaise est responsable du maintien de la sécurité et de l'ordre public pendant les manifestations.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mapambano katika guadeloupe kati ya liyannaj kont pwofitasyon na majeshi ya ulinzi yalipambana na mgogoro mkubwa wa kisiasa nchini madagaska.

French

les affrontements en guadeloupe entre le lkp et les forces de l'ordre étaient concomitantes avec la période la plus intense de la crise politique à madagascar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vikosi hivyo vilipofika kwenye makao makuu ya rti vilikabiliana na upinzani mkali kutoka vikosi vya ulinzi na usalama vya fds vinavyomuunga mkono gbagbo.

French

arrivées au siège de la rti, elles se sont heurtées à la résistance des forces de défense et de sécurité de laurent gagbo (fds).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

chuo kikuu cha elmo sanat mjini tehran waliandamana wakiwa na picha ya kianoush asa, mwanafunzi aliyeuawa na vikosi vya ulinzi majira ya kiangazi mwaka 2009.

French

les étudiants de l'université elmo sanat à téhéran ont défilé avec la photo de kianoush asa, un étudiant assassiné par les forces de sécurité iraniennes durant l'été 2009.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ulinzi binafsi wa barua pepe ni sehemu muhimu ya utatuzi wa tatizo la kufuatiliwa mawasiliano," fsf linasema:

French

"autodéfense courriel n'est qu'un élément - certes important - de la solution face à la surveillance de masse," comme l'indique la fsf :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hata hivyo, ufanisi wa chanjo hizi kwa watu wazee na miundo ya viwango vyao kuuwa virusi na ulinzi wa dhidi ya virusi vinavyotokana na wanyama bado haujabainishwa kabla utafiti wa kimatibabu uanzishwe.

French

cependant, l’efficacité in vivo de ces vaccins potentiels chez les personnes âgées et sur des modèles soumis à une provocation létale ainsi que leur protection contre une infection par un virus zoonotique restent encore à déterminer, dans la mesure où aucune étude clinique n’a encore été initiée.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika kujibu mashambulizi, vikundi vya ulinzi vya ki-palestina vilivyo kwenye ukanda wa gaza vililipua mabomu kuelekea israel, bila kudhuru mtu yeyote.

French

hanani était natif de naplouse et avait été déporté à gaza avec d'autres prisonniers libérés en israël durant un échange de prisonniers voici quelques mois.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

... mara tu nilipowekwa chini ya ulinzi nyumbani kwangu na vyombo vya usalama, niliteswa, nilipigwa na kutishiwa kifo...mimi ni mhanga wa unyanyasaji wa utawala huu wa kiislamu.

French

... dès mon arrestation dans mon appartement par les forces de sécurité, j'ai été torturé, battu et menacé d'être exécuté...

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika agenda za mkutano, kadhalika, kutakuwa na mada kuhusu vyombo mbadala vya habari na ulinzi wa data binafsi itakayotolewa na chawki gaddas kutoka kitivo cha sheria, sayansi ya siasa na jamii cha tunis.

French

au programme de la rencontre figurent, entre autres, une table-ronde sur le sujet des médias alternatifs en tunisie et un exposé sur vie privée et protection des données personnelles en tunisie par chawki gaddas de la faculté des sciences juridiques, politiques et sociales de tunis.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kampeni ya djakpata, iliyozinduliwa mapema mwezi april 2013 na wizara ya mambo ya ndani, ulinzi na dini ya benin, inadhamiria kuwasaka wahalifu wote wanaojihusisha na shughuli zote zisizo halali na ambazo zinaweza kuleta usumbufu kwa watu wa benin.

French

depuis son lancement par le ministre de sécurité publique et des cultes, l'opération djakpata a pour objectif de traquer tous les criminels, menant des activités illégales pouvant toucher à la quiétude de la population béninoise.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mara tu baada ya askari wa umoja wa mataifa kuondoka, venuste na watu wengine wapatao 5000 waliokuwa kwenye viwanja vya shule hiyo walilazimishwa kutembea chini ya ulinzi wa wanamgambo wa kihutu waliokuwa wakiwadhihaki, pia walikuwepo askari na raia waliobeba mapanga, bunduki na silaha nyingine.

French

après le départ du dernier casque bleu, vénuste et quelque 5 000 autres, qui s'étaient rassemblés dans l'enceinte de l'école, ont été obligé de se mettre en marche sous les huées et les coups des miliciens hutus, des soldats et de civils brandissant des machettes, des fusils et autres armes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,900,293,448 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK