Results for walionyesha translation from Swahili to French

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

French

Info

Swahili

walionyesha

French

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

mtandaoni, watumiaji wa mtandao walionyesha mshangao wao kwa habari hizo.

French

en ligne, les bahreinis sont consternés.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wavenezuela jijini sydney walionyesha mshikamano wao kuunga mkono maandamano ya wanafunzi

French

les vénézuéliens de sydney apportent leur solidarité aux défilés des étudiants.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wananchi wa zambia wanaotumiao mtandao katika tovuti mbalimbali za kijamii walionyesha kupinga kauli hiyo ya bw.

French

sur la majorité des réseaux sociaux, la communauté d'internautes zambienne a réagit de nombreuses façons à la déclaration de m. ban.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye mtandao wa twita, wa-indonesia walionyesha wasiwasi wao juu ya kurejea tena kwa vumbi hilo huko sumatra.

French

sur twitter, les indonésiens font part de leur inquiétude quant au retour du brouillard à sumatra. si le président de l'indonésie se pose des questions, veu aux propriétaires d'huile de palme msian de sumatra de créer plus d'incendies pour que sby puisse voir le brouillard de ses propres yeux. — dr wan norashikin (@drshikin), 31 août 2013, 8h42

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa taarifa mbalimbali, wachezaji walionyesha nia ya kutaka kuendelea na mashindano, lakini serikali ya togo iliamua kuirudisha nyumbani timu hiyo siku ya jumamosi.

French

bien que, selon les informations, de nombreux joueurs aient indiqué qu'ils voulaient continuer à jouer, le gouvernement togolais a rappelé l'équipe samedi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

pia walionyesha hasira zao kwa televisheni ya kitaifa ya iran, ambayo hutangaza vipindi vya dini, badala ya kutoa taarifa kwa watazamaji kuhusu matetemeko ya ardhi na jinsi ya kusaidia.

French

ils ont aussi donné libre colère à leur colère contre la télévision nationale iranienne, qui a diffusé des programmes religieux au lieu de fournir les téléspectateurs en informations sur les séismes et les modalités d'aide.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wafanya kampeni ya faragha walionyesha wasiwasi wa madhara ya uchunguzi wa idadi kubwa ya watu kwa kutumia progwamu ya virusi vya korona, haswa kuhusu ikiwa miundombinu ya uchunguzi iliyoundwa kushughulikia ugonjwa wa virusi vya korona itasambaratishwa baada ya ugonjwa kudhibitiwa.

French

des militants en faveur de la protection de la vie privée ont fait part de leurs inquiétudes concernant les implications des applications coronavirus en matière de surveillance de masse, en particulier le démantèlement éventuel de l’infrastructure de surveillance créée pour faire face à la pandémie de coronavirus une fois la menace éloignée.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zilikuwepo twiti za upande wa wale wanaomwunga mkono rais, ambazo zilionyesha furaha na kuridhika, wakati wale waliokuwa wanamwunga mkono hanrique capriles walionyesha hisia zao za kusikitishwa na matokeo hayo wakati huo huo wakiwa na matumaini kwamba mambo yanaweza kubadilika kwa siku za mbeleni.

French

du côté de ceux qui soutiennent le président, les tweets montrent la joie et la satisfaction. au contraire, chez les partisans d'henrique capriles se mêlent la déception et la profonde conviction que des changements seront tout de même possibles à l'avenir.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kutenda papo hapo bila ya kusubiri ushauri wa namna bora ya kwenda mbele kutoka kwa mtu yeyote, wanafunzi walionyesha kwamba walikuwa na uwezo wao wenyewe, kwa kutambua kwamba ili kukabiliana na hali hiyo, ilikuwa ni muhimu kwao kuingilia kati na kuhamasisha.

French

en agissant spontanément sans attendre une autorisation écrite de quelque autorité, les jeunes étudiants ont démontré leur capacité autonome à réaliser que, pour faire face à la situation, il fallait intervenir et se mobiliser.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanahabari ahmed el desouky alikuwa ni mmojawapo wa watu wa kwanza kuandika maoni ya watu mahakamani kwa ajili ya jamii ya wamisri katika mtandao wa intaneti, alisema: kulikuwa na ulalamishi mahakamani baada ya sentesi kusomwa na wale waliohusika walionyesha hasira kali na mshangao wakieleza kuwa hukumu ile ilikuwa ni kali kupita kiasi.

French

le journaliste ahmed el desouky a fait partie des premiers à rendre compte des réactions dans le tribunal à la communauté égyptienne sur internet: il y a eu un tumulte dans le tribunal après le verdict et la défense a exprimé sa rage et sa surprise envers cette décision jugée complètement disproportionnée.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

carlos garcia (@carlosgarciareq) na mirian de aristimuño (@miriamjsdea) walionyesha vidole vyao vilivyochonywa wino usiofutika kupitia alama habari #yavote (nimeshapiga kura yangu):

French

carlos garcia (@carlosgarciareq) et mirian de aristimuño (@miriamjsdea) ont diffusé des photos de leurs petits doigts marqués à l'encre violette, sous l'étiquette #yavote :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,774,318,598 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK