Results for walishambulia translation from Swahili to French

Swahili

Translate

walishambulia

Translate

French

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

waandamanaji nchini ukraine walishambulia mabasi yaliyobeba wana ukraine na wageni waliookolewa kutoka wuhan hadi novi sanzhary.

French

en ukraine, des manifestants ont attaqué des bus transportant des ukrainiens et des évacués étrangers entre wuhan et novi sanzhary.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu walikuwa katika makundi pia walishambulia na kuiba vitu kwenye chumba cha makumbusho kijijini humo, na benki, maduka na makanisa mengine 10 jimboni humo.

French

des groupes ont également attaqué et pillé le musée de mallawi, des banques, des magasins et 10 autres églises de la province de minya.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

boko haram walishambulia bosso na diffa, miji miwili iliyo kusini mashariki mwa naija kwenye mpaka wa nchi hiyo na naijeria lakini walirudishwa nyuma na majeshi ya chad na naija.

French

l'assaut de boko haram contre bosso et diffa, deux villes du sud-est du niger à la frontière avec le nigeria a été repoussé par les forces armées du niger et du tchad.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika mkesha wa mapinduzi mwaka 2011 wanachama wa kikundi hicho cha “wasiojitambulisha” waliotawanyika duniani kote walishambulia tovuti kadhaa za serikali katika kile kilichoitwa operation tunisia.

French

a la veille de la révolution de 2011, les membres d'anonymous mondial avaient ciblé plusieurs sites internet gouvernementaux dans ce qui avait été appelé opération tunisie. anonymous a aussi récemment lancé des attaques en ligne contre les islamistes tunisiens.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa gawker, anonymous, kundi lenye muundo-huru la wanaharakati wenye utaalamu wa kuingilia mawasiliano binafsi ya mtandaoni pamoja na walinzi sungusungu, walishambulia tovuti za serikali, pamoja na ile ya rais, waziri mkuu, soko la hisa na wizara kadhaa, wakipinga kitendo cha tunisia kuingilia utumiaji wa mtandao maarufu wa kutoa taarifa za siri za serikali duniani uitwao wikileaks, kufuatia sakata la kuingiliwa kwa mawasiliano ya siri, na dhidi ya uingiliaji wa mitandao binafsi wenye ukandamizaji unaofanywa na nchi hiyo.

French

selon le site gawker, anonymous, un groupe de hackers militants organisés de façon informelle, a attaqué les sites du gouvernement tunisien - y compris celui du président ben ali, du premier ministre, de la bourse des valeurs, et ceux de plusieurs ministères - en représailles contre la censure par le gouvernement tunisien du site wikileaks, après la divulgation des télégrammes diplomatiques américains, et contre la politique de censure agressive d'internet qui a lieu en tunisie.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,730,190 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK