Results for walitaka translation from Swahili to French

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

French

Info

Swahili

na walitaka kukukera ili uitoke nchi.

French

en vérité, ils ont failli t'inciter à fuir du pays pour t'en bannir.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi walitaka kumfanyia vitimbi, lakini tukawafanya wao ndio wa chini.

French

ils voulurent lui jouer un mauvais tour; mais ce sont eux que nous mîmes à bas.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu walitaka kumtia nguvuni lakini hakuna aliyejaribu kumkamata.

French

quelques-uns d`entre eux voulaient le saisir, mais personne ne mit la main sur lui.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waliponihoji na kuona kwamba sikuwa na hatia yeyote, walitaka kuniacha.

French

après m`avoir interrogé, ils voulaient me relâcher, parce qu`il n`y avait en moi rien qui méritât la mort.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wapinzani wetu walitaka dunia kuamini kinyume, kwamba ukosefu wa chakula usingekwepeka.

French

nos détracteurs voulaient que le monde croie à l'opposé, à ce que la crise alimentaire étaient inévitable.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anasema kuwa karoubi na mousavi walitaka kubadili hali nchini, na inawabidi waanze sasa.

French

il ajoute que karoubi and moussavi , qui voulaient apporter le changement, devraient commencer dès maintenant.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akajua ya kuwa watu walitaka kumchukua wamfanye mfalme, akaondoka tena, akaenda mlimani peke yake.

French

et jésus, sachant qu`ils allaient venir l`enlever pour le faire roi, se retira de nouveau sur la montagne, lui seul.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akawa anafundisha kila siku hekaluni. makuhani wakuu, walimu wa sheria na viongozi wa watu walitaka kumwangamiza,

French

il enseignait tous les jours dans le temple. et les principaux sacrificateurs, les scribes, et les principaux du peuple cherchaient à le faire périr;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alishikiliwa kwa siku mbili ambapo shirika la haki za binadamu la kimataifa amnesty international na wanahabari wasiokuwa na mipaka walitaka aachiwe.

French

il a été emprisonné pendant deux jours durant lesquels amnesty international et reporters sans frontières ont appelé à sa libération.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nikawa mkiwa asiye na rafiki, kupitia mimi, walitaka kuwatisha wapinzani wa mpango huo wa kutafuta kuchaguliwa kwa kipindi cha nne cha uraist.

French

a travers moi, ils veulent abattre l’opposition algérienne qui dit non à un quatrième mandat nous a confié ce jeune caricaturiste lequel a peiné pour trouver un avocat qui accepte de défendre sa cause.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tangu zamani walitaka kukutilieni fitna, na wakakupindulia mambo juu chini, mpaka ikaja haki na ikadhihirika amri ya mwenyezi mungu, na wao wamechukia.

French

ils ont, auparavant, cherché à semer la discorde (dans vos rangs) et à embrouiller tes affaires jusqu'à ce que vînt la vérité et triomphât le commandement d'allah, en dépit de leur hostilité.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walitaka kutoa chanjo itakayoteuliwa ambayo ingeweza kupimwa kwa wanadamu "katika kipindi cha siku 90."

French

ils voulaient produire un candidat vaccin qui pourrait être testé chez l’homme « dans les 90 jours ».

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

@baheyah: ni mpinduzi ya wamisri na sio ya kijeshi, wamisri walitaka kumtoa mosri kwa kutumia silaka zao za maangamizi = sauti yao

French

@baheyah: #egyptianrevolutionnotmilitarycoup les egyptiens sont sortis pour se débarrasser de #morsi usant de leur arme de distraction de masse = leur voix

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na ingeli kuwa kweli walitaka kutoka bila ya shaka wangeli jiandalia maandalio, lakini mwenyezi mungu kachukia kutoka kwao, na kwa hivyo akawazuia na ikasemwa: kaeni pamoja na wanao kaa!

French

et s'ils avaient voulu partir (au combat), ils lui auraient fait des préparatifs. mais leur départ répugna à allah; il les a rendus paresseux. et il leur fut dit: «restez avec ceux qui restent».

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati redio ya uholanzi ilporusha hewani tafsiri ya kiarabu kuhusu zana ya kutengeneza bikira ya bandia, pale gazeti la youm7 lilipotangaza kuwa bidhaa hiyo itaanza kupatikana kwenye soko la misri, wabunge wahafidhina huko misri walitaka bidhaa hiyo izuiwe na muagizaji yeyote afukuzwe nchini au akatwe kichwa, na habari hiyo ilipozua kelele kwenye ulimwengu wa blogu wa misri, mohamed al rahhal alinunua zana hiyo maalum ya kutengeneza bikira ya bandia.

French

quand radio nederland a diffusé une traduction arabe du artificial virginity hymen kit (en français "kit d'hymen pour virginité artificielle"), quand le journal youm7 a annoncé que le produit sera disponible sur le marché égyptien pour 83 livres égyptiennes , quand les députés conservateurs égyptiens ont voulu faire interdire le produit et exiler ou décapiter tout exportateur , et quand ceci a provoqué un tel tumulte dans la blogosphère égyptienne, mohamed al rahhal n'a pu faire autrement que d'en acheter un.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,941,740,957 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK