From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wanachama wa vuguvugu la mqm likisherehekea siku ya malala.
le mqm célèbre la journée de malala.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
unaweza kuona orodha ya wanachama waliopo wa kituo hicho hapa.
vous pouvez voir la liste actuelle des membres du centre ici.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wanachama sita wa chama cha kublogu wakamatwa nchini ethiopia, aprili 25, 2014
six membres d'un collectif de blogueurs arrêtés en ethiopie, 25 avril 2014
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
director nicklass aligusia hisia zinazoambatana na wanachama wa chadema kuvaa magwanda:
director nicklass a fait recours à un stéréotype qui associe les dirigeants du chadema avec les treillis:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wanachama wa jamii ya global voices katika mkutano wa delhi india, mwaka 2006.
des membres de la communauté global voices lors du sommet 2006 à delhi, en inde.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wanachama wa polisi wa wanaheda waliwahi haraka kuingilia na hakuna tukio jingine lilitokea jioni hiyo.
des agents de police de wanaheda sont intervenu rapidement et aucun autre incident n'est survenu dans la soirée.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
"acheni unyanyasaji wa 'wanachama wa familia' za waandishi wa habari wa iran"
"arrêtez le harcèlement des familles des journalistes iraniens"
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwa wanachama wa makundi ya kidini yanayokandamizwa nchini indonesia, tamko hilo halina maana na ni kauli mbiu potofu.
pour les membres des groupes religieux persécutés en indonésie, c'est un cliché inutile et inexact.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
jambo la kusisimua zaidi ni jinsi global voices ilivyobadilisha maisha ya wahariri wetu, watu wanaojitolea na jamii pana ya wanachama.
ce qui est vraiment enthousiasmant est de voir l'impact positif qu'a eu global voices sur la vie de nos éditeurs, bénévoles, et sur les membres de la communauté au sens large.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini hivi karibuni, hali mbaya ya hofu imekuwa ikiamka kati ya rais mills na wanachama wnegine wa chama cha ndc pamoja na rais rawlings.
mais, récemment, des tensions sont apparues entre le président mills et d'autres membres du parti ndc, y compris le président rawlings.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kadhalika, zaidi ya wanachama 100 wa nld na mashabiki wa nld walijitolea damu katika hospitali ya eneo hilo ili kuvutia watu waelewe juu ya kuachiwa kwa suu kyi.
une centaine de membres du ndl et de sympathisants sont aussi allés en masse donner leur sang dans un hôpital, pour attirer l'attention et diffuser l'information sur sa libération.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ndani ya muda usiotimia mwezi mmoja tayari ukurasa huo uliwavutia wanachama zaidi ya 10,000 na kupata uungwaji mkono kutoka katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
en moins d'un mois, la page facebook a gagné une dizaine de milliers de membres et un large soutien sur les médias sociaux.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
neumann pia anabaini kuwa mwaka 2009 pia ulishuhudia kupitishwa kwa vigezo vya kupima vyenye kasoro ambavyo havizitaki nchi wanachama kupata mapendekezo kutoka kwa asasi huru zisizo za kiserikali zenye makao ndani ya nchi wanachama.
georg neumann remarque également que l’année 2009 a vu l’adoption d’un mécanisme de révision défectueux qui n’exige pas des États-membres de se renseigner auprès des ong indépendantes installées dans leur pays.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
itakuwa vibaya kwa npp kutuambia nini cha kufanya baada ya kukataliwa na ikiwa watunga sheria wote wa chama na wengine wamefikia kutambua kumwacha rais mills afahamu hisia za wanachama na waghana, basi ni vyema kwetu.
ce serait mauvais pour le npp de nous dire ce que nous devons faire après qu'il ait perdu les élections et si tous les législateurs du parti et d'autres ont réalisé qu'il fallait faire savoir au président mills ce que les membres du parti et les ghanéens pensent, c'est bon pour tout le monde.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baada ya kutoka chama tawala, wanachama wengine kadhaa wa kutoka chama tawala wakiwemo wabunge, madiwani na viongozi wengine wa mikoani nao walihamia kwenye chama kikuu cha upinzani, chadema.
après la défection de m. lowassa, un certain nombre de membres clés du parti au pouvoir, y compris au parlement, des conseillers et des fonctionnaires régionaux le suivent au parti chadema.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mpaka wakati tangazo hilo linatolewa, haikuwa wazi ikiwa urusi itarekebisha mipaka ya nchi hiyo mara moja, au itawaacha wanachama ao wapya kuwa huru kama zilivyo abkhazia, south ossetia, au transnistria.
jusqu'à cette déclaration, on pouvait se demander si la russie allait annexer d'emblée ces nouveaux territoires, ou si elle les maintiendrait en région indépendante et contestée comme l'abkhazie, l'ossétie du sud ou la transnistrie.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ilitaarifiwa kwamba alikuwa ametia saini makaratasi ya kuachiwa mnamo majira ya saa 6 mchana siku hiyo hata wanachama wa chama cha national league for democracy, ambacho ni chama cha suu kyi, walianza kusafisha ofisi za makao makuu ya kamati kuu huku wakiwa na matarajio ya kuachiwa kwa suu kyi.
elle a signé les documents nécessaires à sa libération vers midi ce jour là. les membre de la ligue nationale pour la démocratie (nld en anglais), le parti de suu kyi, ont commencé à faire un grand ménage au secrétariat du siège en préparation de sa libération.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
asilimia ya wanawake, kwa wanachama wa umoja wa ulaya, ambao wanasema kuwa wameshuhudia mateso "vurugu au unyanyasaji wa kijinsia wakiwa kwenye mikono ya wapenzi wao au watu wasio wapenzi wao tangu wakiwa na umri wa miaka 15."
pourcentage de femmes, par pays membre de l'union européenne, qui disent avoir supporté "la violence physique ou sexuelle de la part de leur partenaire ou d'une autre personne après l'âge de 15 ans."
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting