From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
akainua kimo chake, na akaitengeneza vizuri.
er erhöhte seine dicke, dann ebnete er ihn,
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha akawaongoza nje ya mji hadi bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki.
er führte sie aber hinaus bis gen bethanien und hob die hände auf und segnete sie.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha yule malaika niliyemwona akisimama juu ya bahari na juu ya nchi kavu akainua mkono wake wa kulia juu mbinguni,
und der engel, den ich sah stehen auf dem meer und der erde, hob seine hand gen himmel
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
huyo tajiri, alikuwa na mateso makali huko kuzimu, akainua macho yake, akamwona abrahamu kwa mbali na lazaro karibu naye.
als er nun in der hölle und in der qual war, hob er seine augen auf und sah abraham von ferne und lazarus in seinem schoß.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha malaika mmoja mwenye nguvu sana akainua jiwe mfano wa jiwe kubwa la kusagia, akalitupa baharini akisema, "ndivyo, babuloni atakavyotupwa na kupotea kabisa.
und ein starker engel hob einen großen stein auf wie einen mühlstein, warf ihn ins meer und sprach: also wird mit einem sturm verworfen die große stadt babylon und nicht mehr gefunden werden.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting