Results for haitakuwa translation from Swahili to German

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

German

Info

Swahili

haitakuwa

German

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

kwa makafiri haitakuwa nyepesi.

German

für die kafir, nicht leicht.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haitakuwa ila ukelele mmoja tu, mara wote watahudhuruishwa mbele yetu.

German

es genügt nur ein einziger schrei, da werden sie allesamt bei uns vorgeführt.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku watakayo waona malaika haitakuwa furaha siku hiyo kwa wakosefu.

German

am tage, wenn sie die engel sehen werden, gibt es keine frohe botschaft an jenem tag für die schwer verfehlenden.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na pepo italetwa karibu kwa ajili ya wachamngu, haitakuwa mbali.

German

und das paradies wird an die gottesfürchtigen herangebracht, nicht weit entfernt:

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na wenye kuamini na wakatenda mema haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.

German

diejenigen nun, die glauben und besserung bringen, haben nichts zu befürchten, und sie werden nicht traurig sein.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku ambayo nafsi haitakuwa na madaraka yoyote juu ya nafsi; na amri yote siku hiyo ni ya mwenyezi mungu tu.

German

am tag, da keine seele für eine (andere) seele etwas (auszurichten) vermag; und der befehl wird an jenem tag allah (allein) zustehen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watakapo kufikieni mitume miongoni mwenu wakakuelezeni ishara zangu, basi watakao mchamngu na wakatengenea haitakuwa khofu kwao, wala hawatahuzunika.

German

wenn zu euch gesandte von euch kommen, die euch meine ayat vortragen, wer dann taqwa gemäß handelt und gottgefällig gutes tut, so gibt es um diese weder angst noch werden sie traurig sein.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeyote anaye elekeza uso wake kwa mwenyezi mungu naye ni mtenda mema, basi ana malipo yake kwa mola wake mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.

German

wer sich allah ergibt, während er muhsin ist, dieser hat seine belohnung bei seinem herrn, und um sie gibt es weder angst, noch werden sie traurig sein.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi wanaadamu! watakapo kufikieni mitume miongoni mwenu wakakuelezeni ishara zangu, basi watakao mchamngu na wakatengenea haitakuwa khofu kwao, wala hawatahuzunika.

German

o kinder adams, wenn gesandte aus eurer mitte zu euch kommen, um euch von meinen zeichen zu erzählen, dann haben diejenigen, die gottesfürchtig sind und besserung bringen, nichts zu befürchten, und sie werden nicht traurig sein.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tukasema: shukeni nyote; na kama ukikufikieni uwongofu utokao kwangu, basi watakao fuata uwongofu wangu huo haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.

German

wir sagten: "steigt davon allesamt ab! und wenn euch von mir rechtleitung erreicht, so wird es um diejenigen, die meiner rechtleitung folgen, weder angst geben, noch werden sie traurig sein."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sivyo hivyo! yeyote anaye elekeza uso wake kwa mwenyezi mungu naye ni mtenda mema, basi ana malipo yake kwa mola wake mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao wala hawatahuzunika.

German

doch wer sich allah hingibt und gutes tut, der hat seinen lohn bei seinem herrn; und diese werden weder angst haben noch werden sie traurig sein.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nanyi wake, jiwekeni chini ya mamlaka ya waume zenu, ili kama wako waume wowote wasioamini neno la mungu, wapate kuamini kwa kuuona mwenendo wenu. haitakuwa lazima kwenu kusema neno,

German

desgleichen sollen die weiber ihren männern untertan sein, auf daß auch die, so nicht glauben an das wort, durch der weiber wandel ohne wort gewonnen werden,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakika walio amini, na mayahudi na wakristo, na wasabai; yeyote atakaye muamini mwenyezi mungu na siku ya mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa mola wao mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.

German

diejenigen, die glauben, und diejenigen, die juden sind, und die christen und die säbier, all die, die an gott und den jüngsten tag glauben und gutes tun, erhalten ihren lohn bei ihrem herrn, sie haben nichts zu befürchten, und sie werden nicht traurig sein.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,782,565,251 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK