Results for kiburi translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

kiburi

German

stolz

Last Update: 2012-09-12
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

haikufalii kufanya kiburi humo.

German

dir steht es nicht zu, dich darin hochmütig zu verhalten.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

bali huyu ni mwongo mwenye kiburi!

German

nein, er ist ein unverschämter lügner."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nao wakapanda kiburi, na wakawa watu wakosefu.

German

aber sie verhielten sich hochmütig und waren ein volk von Übeltätern.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

kesho watajua ni nani huyo mwongo mwenye kiburi.

German

"morgen werden sie erfahren, wer der unverschämte lügner ist!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hakika mwenyezi mungu hawapendi wenye kiburi wanao jifakhiri,

German

allah liebt nicht, wer eingebildet und prahlerisch ist,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na walioko kwake hawafanyi kiburi wakaacha kumuabudu, wala hawachoki.

German

diejenigen, die bei ihm sind, weigern sich nicht hochmütig, ihm zu dienen, und werden darin nicht müde.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

akasema: basi teremka kutoka humo! haikufalii kufanya kiburi humo.

German

er sagte: "dann steige davon hinab, denn du darfst dich darin nicht überheblich verhalten, gehe hinaus!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na msimfanyie kiburi mwenyezi mungu; hakika mimi nitakuleteeni uthibitisho ulio wazi.

German

und erhebt euch nicht in arroganz allah gegenüber! gewiß, ich brachte euch einen deutlichen beweis.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na ama wale walio ona uvunjifu na wakafanya kiburi, basi atawaadhibu adhabu iliyo chungu.

German

diejenigen aber, die widerwillen zeigen und sich hochmütig verhalten, wird er mit einer schmerzhaften pein peinigen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao makasisi na wamonaki, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.

German

dies (ist so), weil es unter ihnen priester und mönche gibt und weil sie nicht hochmütig sind.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na alipanda kiburi yeye na majeshi yake katika nchi bila ya haki, na wakadhania kuwa hawatarudishwa kwetu.

German

er und seine heerscharen verhielten sich ohne recht hochmütig auf der erde und glaubten, daß sie (dereinst) nicht zu uns zurückgebracht würden.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na wale watakao kanusha ishara zetu na wakazifanyia kiburi, hao ni watu wa motoni; humo watadumu.

German

diejenigen aber, die unsere zeichen für lüge erklären und sich ihnen gegenüber hochmütig verhalten, das sind insassen des (höllen)feuers. ewig werden sie darin bleiben.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na lau kuwa mwenyezi mungu angeli wakunjulia riziki waja wake, basi bila ya shaka wangeli panda kiburi katika dunia.

German

und würde allah seinen dienern die versorgung großzügig zuteilen, würden sie auf der erde ungerechtigkeit verüben.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

hakika wale wanao zikanusha ishara zetu na wakazifanyia kiburi hawatafunguliwa milango ya mbingu, wala hawataingia peponi mpaka apite ngamia katika tundu ya sindano.

German

denen, die unsere zeichen für lüge erklären und sich ihnen gegenüber hochmütig verhalten, werden die tore des himmels nicht geöffnet, und sie werden nicht ins paradies eingehen, ehe denn ein kamel durch ein nadelöhr geht.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na lau kuwa mwenyezi mungu angeli wakunjulia riziki waja wake, basi bila ya shaka wangeli panda kiburi katika dunia. lakini anaiteremsha kwa kipimo akitakacho.

German

und wenn allah die mittel zum unterhalt für seine diener erweitern würde, so würden sie übermütig auf erden sein; doch er sendet (seine gaben) in dem maße hinab, wie er es will; denn er kennt und durchschaut seine diener recht wohl.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na hao watu wa mnyanyukoni watawaita watu wanao wajua kwa alama zao. watasema: kujumuika kwenu hakukufaini kitu, wala hicho mlicho kuwa mnafanyia kiburi.

German

die zugehörigen von al-'araf haben dann (kafir-)männern, die sie an ihrer miene erkannten, zugerufen, sie sagten (ihnen): "was hat euch eure menge und das, was ihr an Überheblichkeit praktiziert habt, genützt?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

masihi hataona uvunjifu kuwa mtumwa wa mwenyezi mungu, wala malaika walio karibishwa. na watakao ona uvunjifu utumwa wa mwenyezi mungu na kufanya kiburi, basi atawakusanya wote kwake.

German

der messias wird es niemals verschmähen, diener allahs zu sein; ebenso nicht die (allah) nahestehenden engel; und wer es verschmäht, ihn anzubeten, und sich dazu zu erhaben fühlt so wird er sie alle zu sich versammeln.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

na ama walio amini na wakatenda mema atawalipa ujira wao sawa sawa, na atawazidishia kwa fadhila yake. na ama wale walio ona uvunjifu na wakafanya kiburi, basi atawaadhibu adhabu iliyo chungu.

German

denen aber, die glauben und gute werke tun, wird er den vollen lohn und noch mehr von seiner huld geben; die aber, die verschmähen und stolz sind, die wird er schmerzlich bestrafen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi tukawapelekea tufani, na nzige, na chawa, na vyura, na damu, kuwa ni ishara mbali mbali. nao wakapanda kiburi, na wakawa watu wakosefu.

German

da sandten wir die flut über sie, die heuschrecken, die läuse, die frösche und das blut - deutliche zeichen -, doch sie betrugen sich hochmütig und wurden ein sündiges volk.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
8,941,822,471 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK