From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
wamekuwa kizuizini tangu wakati huo na bado wanangoja kuendeshwa kwa shauri lao.
sie sitzen seitdem im gefängnis und der gerichtsprozess steht ihnen noch bevor.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
zaidi ya watu 76 walijeruhiwa katika migogoro hiyo na takribani watu 10 waliwekwa kizuizini.
dieser bericht ist teil unseres dossiers über europa in der krise.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanablogu wa iran siamak mehr aliwekwa kizuizini mwaka 2010 na kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka minne jela
der iranische blogger siamak mehr wurde 2010 inhaftiert und muss eine vierjährige haftstrafe absitzen
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alaa alitiwa kizuizini baada ya polisi kuvamia nyumba yake siku mbili baadaye na kutuhumiwa kuandaa maandamano.
zwei tage später stürmte die polizei das haus von alaa und verhaftete ihn aufgrund des vorwurfs, die demonstration organisiert zu haben.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mnamo aprili 25, 2014, wanablogu tisa wakiwemo waandishi wa habari waliwekwa kizuizini nchini ethiopia.
am 25. april 2014 wurden neun blogger und journalisten in Äthiopien inhaftiert.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
sijui kama mimi nilie kwa sababu ya mauaji yaliyofanywa na walinzi wa serikali au shauri ya rafiki zangu 11 walioko kizuizini
ich weiß nicht, soll ich weinen wegen des massakars vor dem sitz der republikanischen garde oder wegen meiner freunde, den elf inhaftierten. mir genügt gott und er tritt für mich ein.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
posti hii ni sehemu ya kampeni yetu ya #freealexsodiqov: mwandishi wa gv aliyetiwa kizuizini nchini tajikistan.
dieser beitrag gehört zu unserer kampagne #freealexsodiqov: alexander ist ein global voices autor, der in tadschikistan zu unrecht verhaftet worden ist.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
polisi waliwaweka kizuizini wanawake 11, wengi wao wanachama wa kundi hilo la kupinga mashitaka ya kijeshi kwa raia, na wanaume 24.
dabei wurden 11 frauen, von denen die meisten der gruppe "no to military trials for civilians" angehörten, und 24 männer festgenommen.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
tulipokuwa tunasheherekea siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani siku ya jumamosi, walikuwa kizuizini kwenye mahabusi mbaya zaidi jijini addis ababa.
während wir am samstag den internationalen tag der pressefreiheit feierten, wurden sie in der berüchtigten zentralen untersuchungshaftanstalt von addis abeba gefangen gehalten.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alipopelekwa mahakamani mnamo tarehe 6 desemba, soudani alikana mashtaka yaliyotolewa dhidi yake na kueleza kwamba aliteswa vibaya sana wakati alipokuwa ametupwa kizuizini kinyume cha sheria.
bei seinem erscheinen vor gericht am 6. dezember wies er die gegen ihn eingereichte anklage zurück und erklärte, dass er während seiner außergerichtlichen haft aggressive gefoltert worden sei.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
madai hayo yalitokea licha ya alaa kusubiri nje ya kituo cha polisi ambapo dada yake alikuwa kizuizini novemba 26 jioni yote mpaka yeye alipochukuliwa na marafiki baada ya polisi kumrusha yeye na wenzake jangwani na kutelekezwa.
diese anschuldigung wurde erhoben, obwohl alaa am 26. november den ganzen abend vor dem polizeirevier wartete, in dem seine schwester festgehalten wurde, bis sie von freunden abgeholt wurde, nachdem die polizei sie und ihre mitaktivistinnen in der wüste ausgesetzt hatte.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
twita za zola zilizopata umaarufu mkubwa zilitosha sana kumuelezea vizuri miongoni mwa wenzake kiasi kwamba ninadiriki kusema kwamba hadi wakati anatiwa kizuizini, zola tayari alishakuwa mhabeshi aliyekuwa akisomwa sana katika mtandao wa twitter.
zolas tweets waren derart klangvoll und beliebt, dass ich es wage zu behaupten, dass zola zur zeit seiner inhaftierung der auf twitter am häufigsten gelesene Äthiopier war.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
amekuwa kizuizini tangu novemba 28, baada ya kutuhumiwa kuandaa maandamano mbele ya baraza la shura (bunge kuu nchini misri) bila kupata ruhusa kisheria.
er ist seit dem 28. november inhaftiert, nachdem ihm vorgeworfen wurde, eine demonstration vor dem schura-rat (dem oberhaus des ägyptischen parlaments) ohne genehmigung organisiert zu haben.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
idadi ya watu waliotiwa kizuizini kwa kutoa maoni ya kisiasa yaliyo kinyume na wale wa chama tawala iliongezeka sambamba na kuongezeka kwa ukatili wa polisi uliodhihirishwa na idadi kubwa ya vifo na majeruhi unaosababishwa na vurugu, na idadi ya wakulima ambao walinyang'anywa ardhi yao bila fidia ya kutosha nayo iliongezeka.
die anzahl der menschen, die aufgrund ihrer politischen einstellung inhaftiert sind ist im gegensatz zu denen der herrschenden partei gestiegen. unvermindert schlägt sich die polizeigewalt in der hohen anzahl der todesfälle und verletzten nieder, die aus dieser gewalt hervorgehen. die zahl der bauern, deren land enteignet wurde, ohne dass es dafür eine angemessene entschädigung gab, stieg ebenfalls.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
alitiwa kizuizini nchini ethiopia mnamo tarehe 25 april, 2014 akiwa na wenzake abel wabela, befeqadu hailu, mahlet fantahun, zelalem kibret, na natnael feleke (wote wakiwa katika ushirika wa kublogu wa zone 9) pamoja na waandishi wa habari, asmamaw hailegeorgis, tesfalem waldyes na edom kassaye.
er wurde am 25. und 26. april 2014 zusammen mit abel wabela, befeqadu hailu, mahlet fantahun, zelalem kibret, and natnael feleke (alle mitglieder des bloggerkollektivs zone9) sowie den journalisten asmamaw hailegeorgis, tesfalem waldyes und edom kassaye in Äthiopien verhaftet.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: