Results for kufaa translation from Swahili to German

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

kwa nini unaabudu visivyo sikia, na visivyo ona, na visivyo kufaa chochote?

German

weshalb betest du etwas an, das weder sieht, noch hört, noch von dir irgend etwas abwenden kann?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ni lazima watu wetu wajifunze kuutumia wakati wao katika kutenda mema ili wasaidie katika mahitaji ya kweli, na maisha yao yawe ya kufaa.

German

laß aber auch die unsern lernen, daß sie im stand guter werke sich finden lassen, wo man ihrer bedarf, auf daß sie nicht unfruchtbar seien.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maneno mabaya hata yasisikike kamwe miongoni mwenu; kila mara maneno yenu yawe ya kufaa na ambayo hujenga na kuwasaidia wengine, ili yawaneemeshe wasikilizaji wenu.

German

lasset kein faul geschwätz aus eurem munde gehen, sondern was nützlich zur besserung ist, wo es not tut, daß es holdselig sei zu hören.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipo mwambia baba yake: ewe baba yangu! kwa nini unaabudu visivyo sikia, na visivyo ona, na visivyo kufaa chochote?

German

als er zu seinem vater sagte: "o mein lieber vater, warum dienst du dem, was nicht hört und nicht sieht und dir nichts nützt?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, wakawa wanatafuta wakati wa kufaa. wakawahonga watu fulani wajisingizie kuwa wema, wakawatuma wamnase yesu kwa maswali, na hivyo waweze kumtia nguvuni na kumpeleka kwa wakuu wa serikali.

German

und sie stellten ihm nach und sandten laurer aus, die sich stellen sollten, als wären sie fromm, auf daß sie ihn in der rede fingen, damit sie ihn überantworten könnten der obrigkeit und gewalt des landpflegers.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hubiri huo ujumbe, sisitiza kuutangaza (iwe ni wakati wa kufaa au wakati usiofaa), karipia, onya na himiza watu ukiwafundisha kwa uvumilivu wote.

German

predige das wort, halte an, es sei zu rechter zeit oder zur unzeit; strafe, drohe, ermahne mit aller geduld und lehre.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mungu asema hivi: "wakati wa kufaa nimekusikiliza, wakati wa wokovu nikakusaidia." basi, sasa ndio wakati wa kufaa, sasa ndiyo siku ya wokovu!

German

denn er spricht: "ich habe dich in der angenehmen zeit erhört und habe dir am tage des heils geholfen." sehet, jetzt ist die angenehme zeit, jetzt ist der tag des heils!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,941,822,471 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK