Results for mabadiliko translation from Swahili to German

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

German

Info

Swahili

mabadiliko

German

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

rejesha mabadiliko?

German

Änderungen rückgängig machen?

Last Update: 2014-08-20
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wala hupati mabadiliko katika mwendo wetu.

German

und du findest kein abweichen von dem von uns statuierten vorbild.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapana mabadiliko katika maneno ya mwenyezi mungu.

German

keine abänderung gibt es für allahs worte.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi hutapata mabadiliko katika mtindo wa mwenyezi mungu.

German

also du findest nie für allahs handlungsweise Änderung.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jinsi mabadiliko ya hali ya hewa yanavyowaathiri wakaazi wa vijiji nchini benin

German

benin: klimawandel und die verwundbarkeit der ländlichen bevölkerung

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jinsi vyombo vya habari vya kijamii vimeleta mabadiliko ya kisiasa nchini cambodia

German

wie soziale medien die politik in kambodscha verändern

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na yeye ndiye anaye huisha na kufisha, na yake yeye mabadiliko ya usiku na mchana.

German

und er ist es, der leben und sterben läßt, und in seinen händen ruht der wechsel von nacht und tag.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

solar sister‏ anaamini kuwa, ni wanawake wadogo ambao kwa sasa ndio mihimili ya mabadiliko:

German

solar sister‏ glaubt, dass die jungen mädchen die tragenden pfeiler der veränderung sind:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huo ndio mwendo kwa mitume tulio watuma kabla yako. wala hupati mabadiliko katika mwendo wetu.

German

in dieser weise verfuhren (wir) mit unseren gesandten, die wir vor dir schickten; und du wirst keine Änderung in unserem verfahren finden.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya Συγκακοπαθησον inayoandikwa na mmisionari aliyeko kameruni ilichapisha mabadiliko yatakayotokana na ujio wa papa jijini yaounde.

German

Συγκακοπαθησον, ein blog, das von einer mission in kamerun betrieben wird und in dem über die veränderungen im aussehen yaoundés als ergebnis des papstbesuchs geschrieben wird.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi hutapata mabadiliko katika mtindo wa mwenyezi mungu. wala hutapata mageuko katika mwendo wa mwenyezi mungu.

German

aber in allahs vorgehen wirst du nie eine Änderung finden; und in allahs verfahren wirst du nie einen wechsel finden.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ni ada ya mwenyezi mungu iliyo kuwa kwa wale walio pita zamani. wala hutapata mabadiliko katika ada ya mwenyezi mungu.

German

dies ist allahs handlungsweise mit denjenigen, die vorher vergingen, und du wirst für allahs handlungsweise gewiß keine Änderung finden.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

vijana wapiga kura wanaotaka mabadiliko pamoja na kampeni ya fujo ya upinzani katika mtandao ulifanya athari kubwa katika uchaguzi wa hivi karibuni.

German

die junge, sich nach einem wechsel sehnende wählerschaft, hatte zusammen mit dem aggressiven wahlkampf, den die opposition über das internet geführt hat, einen großen einfluss bei den jüngsten wahlen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa tangazo la "azimio la kikatiba" lilifanywa na wanamgambo hao wa houthi, mabadiliko mapya ya kimadaraka yanatokea.

German

mit bekanntgabe der "verfassungserklärung" durch die huthi hat sich die macht erneut verschoben.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ukiacha kuwanyima haki wale wanaotamani kuona mabadiliko kuliko mtu yeyote...mimi binafsi siridhishwi na tabaka la wanasiasa kama ambavyo siridhishwi na ninyi, tena zaidi.

German

ich bin mit der politischen klasse genauso unzufrieden wie ihr, vielleicht sogar noch mehr.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya watu wanaamini kuwa, huu ni mwanzo wa mabadiliko barani afrika na ni muda wa kuwaondoa viongozi wazee na kuwapa nafasi vijana walipeleke bara la afrika kwenye mafanikio zaidi.

German

einige menschen glauben, dass dies der beginn eines wandels in afrika ist, und die zeit, die zu alten anführer hinter sich zu lassen und jungen menschen zu erlauben, den kontinent voranzubringen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwenye upande mwingine, voice of the oppressed anajiuliza kama wazee wa kanisa hasa wale wa kameruni wana maadili ya kutaka mabadiliko kutoka kwa wale wanaotawala nchi wakati wao wenyewe sio mifano angavu:

German

auf der anderen seite fragt sich voice of the oppressed, ob der klerus, besonders in kamerun, moralisch so überlegen ist, um von denen, die das land regieren, einen wandel zu fordern, wenn er selbst kein leuchtendes vorbild ist:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kijana huyu alipata umaarufu baada ya mieleka mnano februari 14 mwaka jana, ilipodaiwa kuwa aliwatesa wanamichezo wengi wa bahrain, waliojiunga na ranki za waandamanaji katika maandamano makubwa wakidai mabadiliko ya kisiasa nchini humo.

German

der junge mann wurde nach dem aufstand am 14. februar letzen jahres berühmt, als er angeblich persönlich viele bahrainische sportler gefoltert hatte, die sich den protestanten in massiven demonstrationen angeschlossen hatten, um einen politischen wandel in ihrem land zu fordern.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kupishana usiku na mchana, na riziki anayo iteremsha mwenyezi mungu kutoka mbinguni, na kwayo akaifufua ardhi baada ya kufa kwake, na mabadiliko ya upepo, ni ishara kwa watu wenye akili.

German

auch die aufeinanderfolge von nacht und tag und rizq (regen), das allah vom himmel fallen ließ, dann er damit die landschaft nach ihrem tod wieder belebte, und die strömung der winde sind ayat für leute, die sich besinnen.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

marekebisho ya katiba, ambayo ghana inayahitaji leo, hayapaswi kuwa ya juu ya uso au ya urembo au ya fahari ya macho bali yanatakiwa kuwa katika namna ya katiba, ambayo itakumbatia yote na itakayofikia kila nyanja ili kwamba yasipoteze fursa hii ya nadra ya mabadiliko.

German

die verfassungsänderungen, die ghana heute braucht, dürfen deshalb nicht oberflächlicher oder kosmetischer art sein, sondern müssen zu einer verfassung führen, die allumfassend und radikal genug ist, so dass eine seltene chance für den wechsel nicht verpasst wird.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,792,316,209 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK