From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kutana na meena.
triff meena.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
pia, meena anatangaza redioni.
meena wird auch im radio übertragen.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tumejifunza mengi kutoka kwa meena.
wir haben eine menge von meena gelernt.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati huo, meena hakuwa akifahamika.
zu der zeit wurde meena noch nicht ausgestrahlt.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
meena alipata umaaarufu tokea mwanzoni.
meena war von anfang an beliebt.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
unaweza kupakua gazeti lenye hadithi za katuni za meena hapa .
meena-comics können hier kostenlos heruntergeladen werden.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwenye televisheni, mwanzoni, meena hakuruhusiwa kwenda shuleni kabisa.
im fernsehen durfte meena zuerst nicht in die schule gehen.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mtumiaji wa twita, bengalithings alimtambua meena kama kioo katika jamii:
twitter-nutzer bengalithings hält meena für ein vorbild:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
lakini hali ilibadilika mara baada ya vipindi vya televisheni vya meena kuanza kuoneshwa.
die situation änderte sich, nachdem die ausstrahlung der serie um meena begann.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hata mtoto wake mdogo kabisa wa kiume alipooa, tuligundua namna alivyofunzwa na meena.
als dann ihr jüngerer sohn heiratete, merkten wir, wie sehr sie von meena beeinflusst war.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa mujibu wa taarifa , meena amekuwa maarufu hata katika maeneo nje ya asia ya kusini.
berichten zufolge ist meena mittlerweile auch außerhalb der region südasien beliebt.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa ufadhili wa unicef, meena na kipindi chake cha televisheni amekuwa maarufu sana katika eneo hilo.
dank der förderung von unicef erfreut sich die fernsehserie um meena in dieser region großer beliebtheit.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tokea miaka ya 90 hadi sasa, meena amekuwa maarufu sana na fanani wa kipekee sana katika jamii yetu.
seit den 90ern bis heute ist meena ein star geworden, sie ist eine ganz besondere figur in unserer gesellschaft.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
fanani wa kufirika meena ang,ara katika televisheni ya asia ya kusini inayorusha kipindi cha televisheni cha watoto kwa jina hilo hilo.
meena ist eine zeichentrickfigur, die die hauptrolle in der gleichnamigen serie im südasiatischen kinderfernsehen spielt.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kila mmoja alimpenda meena tokea utotoni mwake, na kila mmoja bila kujali umri, aliangalia katuni zake kwa hamasa kubwa.
alle liebten meena seit ihrer kindheit. und jeder, gleich welchen alters, sah sich die serie begeistert an.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
farzana islam tithi, mwenye umri wa miaka 24, ambaye anamtangaza meena,aliliambia gazeti la the daily star:
farzana islam tithi, 24, die stimme von meena, erzählt dem the daily star :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
ufahamu na uwezo wa meena kiakili vilimuwezesha kujifunza kuhesabu pamoja na kujua maarifa mengine ya muhimu kwa ajili ya kumasaidia baba yake dhidi ya watu waliokuwa wakimdanganya. aliokoa ngombe wao kutoka kwa wezi.
weil meena gewitzt und klug war, lernte sie rechnen und anderes basiswissen und konnte damit ihren vater vor den betrügereien anderer leute bewahren.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
bangladesh ilikwa nchi ya kwanza kukutana na meena mara baada ya filamu yake ya kwanza iliyokuwa inaonesha harakati zake za kutaka kwenda shuleni iliyokuwa ikioneshwa katika televisheni ya taifa ya bangladesh(btv) mwaka 1993.
bangladesch war das erste land, das meena kennenlernte , als 1993 ein film im staatlichen fernsehen von bangladesch ausgestrahlt wurde, der meenas bemühungen, eine schule zu besuchen, thematisierte.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
kila mwaka oktoba 24, " siku ya meena" inaadhimishwa nchini bangladesh kuhamasisha jamii kuwaandikisha watoto mashuleni kwa asilimia 100, kukwepa wanafunzi kuacha masomo na kuhakikisha ilimu bora mashuleni.
jedes jahr findet am 24. oktober in bangladesch der "meena-tag" statt. an diesem tag soll das soziale bewusstsein dafür geschärft werden, dass kinder zu 100 % die schule besuchen, schulabbrüche vermieden werden und eine geeignete schulbildung gewährleistet wird.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
kwa kuwa mkweli, meena kutoka kwenye katuni za meena alikuwa ni kielelezo changu tokea utotoni. #nosarcasm #truth #bengali — perksofbeingbengali♡ (@bengalithingss) october 24, 2013
um ehrlich zu sein war meena aus der meena-serie eines meiner vorbilder in der kindheit.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: