Results for tafsiri translation from Swahili to German

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

German

Info

Swahili

tafsiri

German

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

German

Info

Swahili

hiyo ndiyo tafsiri ya hayo ambayo wewe hukuweza kuyasubiria.

German

dies ist die deutung dessen, wofür du keine geduld aufbringen konntest.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hebu tuambie tafsiri yake, kwani sisi tunakuona wewe ni katika watu wema.

German

(beide sagten): "teile uns deren deutung mit! gewiß, wir sehen dich als einen der muhsin."

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wengine walisifu uzuri wa picha hiyo na tafsiri yake kwa mapinduzi ya kiutamaduni.

German

andere loben die schönheit des bildes und seinen revolutionären sinn.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ewe mola wangu mlezi! hakika umenipa utawala, na umenifunza tafsiri ya mambo.

German

mein herr, du hast mir etwas von der herrschaft gegeben und mich etwas von der deutung der sprüche gelehrt.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hii ndiyo tafsiri ya ile ndoto yangu ya zamani. na mwenyezi mungu ameijaalia iwe kweli.

German

dies ist die deutung meines traumgesichts von vorher, bereits ließ mein herr es bewahrheiten.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@_nsalem_ kwa hiyo tafsiri nzuri zaidi; tulipiga rangi hewa kwa kutumia doko.

German

wir werden weitermachen. nadine marroushi übersetzt den tweet:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

raia mtandaoni walianzisha alama ashiria #معتقلي_السحور , ambayo tafsiri yake ni wafungwa wa daku.

German

netzaktivisten machen auf die festnahme mit dem hashtag #معتقلي_السحور aufmerksam, was übersetzt sahur-inhaftierte bedeutet.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo akasema yule aliye okoka katika wale wawili akakumbuka baada ya muda: mimi nitakwambieni tafsiri yake. basi nitumeni.

German

und derjenige von den beiden, der (dem kerker) entkommen war und sich nach geraumer zeit (wieder an yusuf) erinnerte, sprach: "ich will euch die deutung davon wissen lassen, darum schickt mich (zu yusuf)"

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

tafsiri zote pia zitapandishwa kwenye tovuti ya utetezi huu, ambayo imepata uhifadhi hapa openmedia, ambalo ni kundi la utetezi wa haki za watu la nchini kanada.

German

auf der von openmedia , einer kanadischen organisation für digitale bürgerrechte, gehosteten petitions-website werden auch die Übersetzungen veröffentlicht.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadiri tafsiri zinavyojitokeza (tazama hapo juu), tafadhali washirikishe wengine pia viungo kupitia mitandao ya kijamii na marafiki!

German

bitte geben sie auch die links zu den in den kommenden tagen veröffentlichten Übersetzungen (siehe oben) an ihre sozialen netze und bekannten weiter!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanaharakati wa kifilipino wana mashaka kuwa muswaada wa uhalifu wa mtandaoni sasa unaweza kufanya kuwa kinyume cha sheria kuchapisha au kupakia maudhui yaliyo kinyume cha tafsiri ya serikali ya vitu vyenye heshima, maadili na sawa.

German

filipino aktivisten sorgen sich, das netzkriminalitätsgesetz verbiete es material zu verbreiten, dass nicht der staatlichen auffassung von moral entspricht.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kadhaalika mola wako mlezi atakuteuwa na atakufundisha tafsiri ya mambo. na atatimiza neema zake juu yako na juu ya ukoo wa yaa'qub, kama alivyo watimizia hapo zamani baba zako ibrahim na is-haq.

German

und so wird dein herr dich erwählen und dich die deutung der träume lehren und seine huld an dir und an dem geschlecht jakobs vollenden, so wie er sie zuvor an zweien deiner vorväter vollendete, an abraham und isaak.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya sura kutoka kwenye kitabu kipya cha fred pearce, (tafsiri isiyo rasmi) ‘wanyang’anyi ardhi: mapinduzi yaliyofichika ya afrika’, zinaonyesha kwamba unyang’anyi wa ardhi una madhara kwa mafukara hawa kuliko hata mabadiliko ya tabia nchi.

German

auszüge aus einem neuen buch von fred pearce (land grabbing: der globale kampf um grund und boden) zeigen, dass der landraub für die armen der welt größere auswirkungen hat als der klimawandel.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,740,402,307 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK