From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kijiji cha bethania kilikuwa karibu na yerusalemu umbali upatao kilomita tatu.
bethanien aber war nahe bei jerusalem, bei fünfzehn feld weges;
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
kisha akawaacha, akaenda umbali wa mtu kuweza kutupa jiwe, akapiga magoti, akasali:
und er riß sich von ihnen einen steinwurf weit und kniete nieder, betete
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hata atakapo tujia atasema: laiti ungeli kuwako baina yangu na wewe kama umbali baina ya mashariki na magharibi.
bis zuletzt, wenn ein solcher zu uns kommt, er (zu seinem begleiter) sagt: "o läge doch zwischen mir und dir die entfernung zwischen dem osten und dem westen!"
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
wagonjwa hawawezi kwenda hospitali peke yao, hivyo wanapaswa kubebwa mgongoni au kubebwa kwa baiskeli na kusafiri umbali wa zaidi ya kilometa 30.
die kranken können die krankenhäuser nicht alleine aufsuchen, sondern müssen auf dem rücken getragen werden oder mehr als 30 km auf dem gepäckträger eines fahrrads sitzen.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wanafunzi walipokuwa wamekwenda umbali wa kilomita tano au sita, walimwona yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa sana.
da sie nun gerudert hatten bei fünfundzwanzig oder dreißig feld wegs, sahen sie jesum auf dem meere dahergehen und nahe zum schiff kommen; und sie fürchteten sich.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
práxedis ipo umbali wa kilometa 100 (maili 62) kutoka ciudad juárez, mji wenye uhalifu zaidi nchini mexico.
práxedis liegt ungefähr 100 kilometer von ciudad juárez, mexikos gewalttätigster stadt, entfernt.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
hata atakapo tujia atasema: laiti ungeli kuwako baina yangu na wewe kama umbali baina ya mashariki na magharibi. rafiki mwovu mno wewe!
wenn er dann (schließlich) zu uns kommt, sagt er: "o wäre doch zwischen mir und dir eine entfernung wie zwischen osten und westen !" - ein schlimmer geselle!
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
anasema kuwa, pamoja na kuwa serekali inajaribu kutoa dawa katika vituo vitatu vya afya ili kuwasaidia waathirika, watu wanalazimika kusafiri umbali mrefu kwa miguu au kwa baiskeli ili kuvifikia vituo hivi.
sie sagt, dass die regierung zwar versuche, die betroffenen in 3 Ärztezentren mit medikamenten zu versorgen, sie aber lange strecken zu fuß oder auf dem fahrrad zuücklegen müssten, um die Ärztezentren zu erreichen.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
itakyry ni moja ya wilaya za idara (mkoa wa) alto paraná, iliyo umbali wa kilomita 450 kutoka katika mji mkuu wa asunción. kufika huko mtu huna budi kutumia barabara za vumbi, katika kilele cha mafanikio yake ilikuwa ni wakati wa ulimaji wa yerba maté.
viele anzeichen deuten auf brasilianischen soja-erzeuger als die verantwortlichen hin, zum teil darum, weil das land der einheimischen gemeinden für die landwirtschaft wertvoll ist, zum anderen weil sie sich in einem rechtsstreit mit den ava guaraní über den besitz von ca. 3.000 hektar befinden, gemäß dem blog von interparaguay .
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: