From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
na atamfunza kuandika na hikima na taurati na injili.
und er lehrt ihn die schrift, die weisheit, at-taurat und alindschil.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
zola anaweza pia kuandika makala zinazodumu kwa kipindi kirefu.
zola kann auch längere und bewegende werke verfassen.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na mwandishi aandike baina yenu kwa uadilifu, wala mwandishi asikatae kuandika.
ein schreiber soll (es) in eurem beisein der gerechtigkeit gemäß aufschreiben.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
si lazima kuandika zaidi kuhusu huduma hiyo yenu kwa ajili ya watu wa mungu.
denn von solcher steuer, die den heiligen geschieht, ist mir nicht not, euch zu schreiben.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
na akikumbushia kuzuiwa kwa wanawake kuendesha magari nchini humo, anaendelea kuandika:
bezüglich des fahrverbots für frauen in der absoluten monarchie, schreibt er:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
madhumuni yangu kuandika ile barua yalikuwa kutaka kujua kama mko tayari kutii katika kila jambo.
denn darum habe ich euch auch geschrieben, daß ich erkennte, ob ihr rechtschaffen seid, gehorsam zu sein in allen stücken.
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hata hivyo, wasomaji waliendelea kuandika maoni kuhusu habari hii kwenye blogu ya our man in cameroon.
leser haben dazu jedoch auch kommentare auf dem blog our man in cameroon hinterlassen.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
basi muaminini mwenyezi mungu na mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini mwenyezi mungu na maneno yake.
so verinnerlicht den iman an allah und an seinen gesandten, den lese- und schreibunkundigen propheten, denjenigen, der den iman an allah und an seine worte verinnerlicht.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
kwa hiyo ki-urdu kiliendelea kutumia sanaa ya kuandika kwa mkono wakati lugha nyingine zilichukua muundo wa miandiko ya mashine.
darum wurde für urdu die lithografie gewählt, während andere sprachen maschinelle schriftsätze übernommen haben.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
tulimkaribisha bukhaiti, osama na baraa kuandika kwenye tovuti ya global voices kutusaidia kuelewa undani wa masuala yanayoikabili yemen na matumaini yaliyopo kwa siku za usoni.
wir haben bukhaiti, osama und baraa eingeladen, für global voices beiträge zu schreiben, um uns dabei zu helfen, tiefer in dieses thema einzudringen, mit dem der jemen konfrontiert ist und das die zukunftshoffnungen seiner bürger beeinflusst.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
basi muaminini mwenyezi mungu na mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini mwenyezi mungu na maneno yake. na mfuateni yeye ili mpate kuongoka.
darum glaubt an allah und an seinen gesandten, den propheten, der des lesens und schreibens unkundig ist, der an allah und an seine worte glaubt; und folgt ihm, auf daß ihr rechtgeleitet werden möget."
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
bah, ambaye aliwahi kuandika namna anavyokubaliana na baadhi ya misimamo ya kisiasa ya papa, anapinga sifa zilizotolewa na papa kwa viongozi watano wa afrika kwa kuwakaribisha jijini vatican.
diese trägt die Überschrift "sa sainteté, pape françois, excommuniez cinq dictateurs africains" und wendet sich direkt an den obersten vertreter der katholischen kirche.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
baada ya kuingia kwa kompyuta, mwandiko wa ki-urdu ulichukua sura mpya, bora zaidi. ilimruhusu mtaalamu wa mwandiko kuandika bila kupata shida sana ya kiundishi.
die entwicklung des computers hat das schreiben auf urdu sehr erleichtert, denn computer erlauben kalligrafie ohne die probleme des lithografiedrucks.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mapema leo, prita mulyasari, mama wa nyumbani aliyeshtakiwa kwa kuandika barua pepe ya kulalamikia huduma mbaya iliyotolewa na hospitali, alipatikana na hatia ya kuchafua jina la hospitali hiyo ya binafsi na mahakama kuu ya tangerang.
heute morgen wurde die hausfrau prita mulyasari vom high court tangerang wegen verleumdung eines privaten krankenhauses verurteilt, weil sie per e-mail eine beschwerde über schlechte behandlung in dem krankenhaus geschrieben hatte.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
mwanafunzi kutoka amerika anayependa afrika, karen killenberg, alikusanya vichapisho vichache alivyovipenda kuhusu jinsi watu wanavyopenda afrika, na pia anamanukuu mwanablogu tatenda muranda katika twitter kuhusu sababu zake za kuandika:
die amerikanische studentin und afrikaliebhaberin karen kilberg sammelte einige ihrer lieblingsbeiträge über das meme und zitiert auch die afrikanische bloggerin tatenda muranda als begründung für ihren beitrag:
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
na hizo ngurumo saba ziliposema, mimi nikataka kuandika. lakini nikasikia sauti kutoka mbinguni: "maneno ya ngurumo hizo saba ni siri; usiyaandike!"
und da die sieben donner ihre stimmen geredet hatten, wollte ich sie schreiben. da hörte ich eine stimme vom himmel sagen zu mir: versiegle, was die sieben donner geredet haben; schreibe es nicht!
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
ambao kwamba wanamfuata huyo mtume, nabii, asiye soma wala kuandika, wanaye mkuta kaandikwa kwao katika taurati na injili, anaye waamrisha mema na anawakanya maovu, na anawahalalishia vizuri, na ana waharimishia viovu, na anawaondolea mizigo yao na minyororo iliyo kuwa juu yao.
die dem gesandten, dem schriftunkundigen propheten, folgen, den sie bei sich in der tora und im evangelium aufgeschrieben finden. er gebietet ihnen das rechte und verbietet ihnen das verwerfliche, er erlaubt ihnen die guten dinge und verbietet ihnen die schlechten, und er nimmt ihnen ihre bürde und die fesseln ab, die auf ihnen lagen.
Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:
Some human translations with low relevance have been hidden.
Show low-relevance results.