Results for baraka translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

baraka

Hebrew

ברכות

Last Update: 2021-07-09
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watakieni baraka wale wanaowalaani, na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.

Hebrew

ברכו את מקלליכם והתפללו בעד מכלימיכם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

najua ya kuwa nikija kwenu nitawaletea wingi wa baraka za kristo.

Hebrew

ויודע אנכי כי בבאי אליכם אבוא במלא ברכת בשורת המשיח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa imani isaka aliwabariki yakobo na esau, wapate baraka zitakazokuja baadaye.

Hebrew

באמונה ברך יצחק את יעקב ואת עשו וידבר על העתידות׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

watakieni baraka wote wanaowadhulumu ninyi; naam, watakieni baraka na wala msiwalaani.

Hebrew

ברכו את רדפיכם ברכו ואל תקללו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

nikiwa na matumaini hayo, nilikusudia kuja kwenu hapo awali ili mpate baraka maradufu.

Hebrew

ובבטחון הזה חפצתי לבוא אליכם מראש למען תקבלו טובה פעמים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

mitume walishuhudia kwa nguvu nyingi kufufuka kwa bwana yesu, naye mungu akawapa baraka nyingi.

Hebrew

ובגבורה גדולה יעידו השליחים על תקומת האדון ישוע וחסד גדול נמשך לכלם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

naomba ili imani hiyo unayoshiriki pamoja nasi ikuwezeshe kuwa na ujuzi mkamilifu zaidi wa baraka zote tunazopata katika kuungana kwetu na kristo.

Hebrew

למען אשר תאמץ התחברות אמונתך בדעת כל טוב אשר בכם לשם המשיח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

tena twataabika na kufanya kazi kwa mikono yetu wenyewe. tukitukanwa, tunawatakia baraka; tukidhulumiwa, tunavumilia;

Hebrew

ויגעים אנחנו בעמל ידינו קללונו ונברך חרפונו ונסבל׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

msiwalipe watu ovu kwa ovu, au tusi kwa tusi; bali watakieni baraka, maana ninyi mliitwa na mungu mpate kupokea baraka.

Hebrew

אל תשלמו רעה תחת רעה או חרפה תחת חרפה כי אם תברכו מדעתכם כי לזאת נקראתם למען תירשו את הברכה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

ninyi mnafahamu kwamba hata alipotaka kuipata tena ile baraka iliyokuwa yake, alikataliwa, maana hakupata tena nafasi ya kutubu, ingawa aliitafuta kwa machozi.

Hebrew

הלא ידעתם כי גם נמאס אחרי כן כאשר רצה לרשת את הברכה כי לא מצא מקום לתשובה אף בקש אותה בדמעות׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hiyo, basi, muwe tayari kabisa kwa nia, na kukesha. wekeni tumaini lenu lote katika baraka ile mtakayopewa wakati yesu kristo atakapoonekana!

Hebrew

לכן חגרו מתני שכלכם התעוררו וקוו קוה לחסד אשר יבואכם בהתגלות ישוע המשיח׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

maana, mtapata tuzo gani mkivumilia mapigo mnayostahili kwa sababu ya makosa yenu? lakini kama mnavumilia mateso hata ingawa mmetenda mema, mungu atawapeni baraka kwa ajili hiyo.

Hebrew

כי אם חטא תחטאו וסבלתם מכות אגרוף מה תתהללו אך אם תענו וסבלתם בעשותכם הטוב חסד הוא מלפני אלהים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

kwa hiyo, kristo ndiye aliyeratibisha agano jipya ili wale walioitwa na mungu wazipokee baraka za milele walizoahidiwa. watazipata, kwani kifo kimetokea ambacho huwakomboa watu kutoka yale makosa waliyofanya wakati wa lile agano la kale.

Hebrew

ובעבור זאת הוא גם סרסר לברית חדשה למען אשר יירשו המקראים את הבטחת נחלת עולם אחרי אשר מת לפדות מן הפשעים אשר נעשו תחת הברית הראשונה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Swahili

siri yenyewe ni hii: kwa njia ya habari njema watu wa mataifa mengine wanapata sehemu yao pamoja na wayahudi katika zile baraka za mungu; wao ni viungo vya mwili uleule, na wanashiriki ahadi ileile aliyofanya mungu kwa njia ya kristo yesu.

Hebrew

להיות הגוים גם הם בני ירשתו וגוף אחד אתו וחברי הבטחתו במשיח על ידי הבשרה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Anonymous

Get a better translation with
8,949,851,466 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK