Results for chaweza translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

afadhali kuacha kula nyama, kunywa divai, au kufanya chochote ambacho chaweza kumsababisha ndugu yako aanguke.

Hebrew

טוב שלא תאכל בשר ולא תשתה יין ולא תעשה דבר אשר יתנגף בו אחיך או יכשל או יחלש׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naam, kadiri ya sheria karibu kila kitu chaweza kutakaswa kwa damu, na dhambi nazo zaondolewa tu ikiwa damu imemwagwa.

Hebrew

וכמעט הכל יטהר בדם על פי התורה ואין כפרה בלי שפיכת דם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu toka nje ambacho chaweza kumtia mtu najisi. lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia mtu najisi."

Hebrew

אין דבר מחוץ לאדם אשר יוכל לטמא אותו בבאו אל קרבו כי אם הדברים היוצאים ממנו המה יטמאו את האדם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naye nathanieli akamwuliza filipo, "je, kitu chema chaweza kutoka nazareti?" filipo akamwambia, "njoo uone."

Hebrew

ויאמר אליו נתנאל המנצרת תצא לנו טובה ויאמר אליו בא וראה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini, ewe binadamu, u nani hata uthubutu kumhoji mungu? je, chungu chaweza kumwuliza mfinyanzi wake: "kwa nini umenitengeneza namna hii?"

Hebrew

אמנם בן אדם מי אתה אשר תריב את האלהים היאמר יצר ליצרו למה ככה עשיתני׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,950,878,902 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK