From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
maana mungu hambagui mtu yeyote.
כי אין משא פנים עם האלהים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
maana, asiyepingana nasi, yuko upande wetu.
כי כל אשר איננו נגדנו הוא בעדנו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
heri walio wapole, maana watairithi nchi.
אשרי הענוים כי המה יירשו הארץ׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ndiyo maana mungu alimkubali kuwa mwadilifu.
על כן גם נחשבה לו לצדקה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mwekeeni matatizo yenu yote, maana yeye anawatunzeni.
השליכו עליו כל יהבכם כי הוא ידאג לכם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wanafunzi wake wakamwuliza yesu maana ya mfano huo.
וישאלהו תלמידיו לאמר מה המשל הזה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
maana tunaishi kwa imani, na si kwa kuona.
כי באמונה נתהלך ולא בראות עינים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
maana mwana wa mtu alikuja kuwaokoa wale waliopotea.
כי בא בן האדם להושיע את האבד׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
"tubuni, maana ufalme wa mbinguni umekaribia."
שובו כי מלכות השמים הגיעה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
lakini wazazi wake hawakuelewa maana ya maneno aliyowaambia.
והם לא הבינו את הדבר אשר דבר אליהם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
maana kwa macho yangu nimeuona wokovu utokao kwako,
כי ראו עיני את ישועתך׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
maana pale ilipo hazina yako, ndipo pia utakapokuwa moyo wako.
כי במקום אשר אוצרכם בו שם יהיה גם לבבכם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
na ujumbe wake haukai ndani yenu maana hamkumwamini yule aliyemtuma.
ודברו איננו שכן בקרבכם כי אינכם מאמינים לשלוחו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ndiyo maana hata lile agano la kwanza halikuwekwa bila damu kumwagwa.
לכן גם הראשונה לא חנכה בלא דם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata na abishaye hufunguliwa.
כי כל השאל יקבל והדרש ימצא ולדפק יפתח׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
zipo lugha mbalimbali ulimwenguni, na hakuna hata mojawapo isiyo na maana.
הן כמה מיני לשנות יש בעולם ואין אחת מהן בלי קול׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
maana, dhambi ilichukua fursa iliyopatiwa na amri hiyo, ikanidanganya na kuniua.
כי מצא החטא סבה במצוה להתעות אתי ויהרגני על ידה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
"msiogope, enyi kundi dogo! maana baba yenu amependa kuwapeni ufalme.
אל תירא העדר הקטן כי רצה אביכם לתת לכם את המלכות׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
nitakuja kwenu, baada ya kupitia makedonia--maana nataraji kupitia makedonia.
ואני אבא אליכם אחרי עברי את מקדוניא כי את מקדוניא אעברה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
ndiyo maana wazazi wake walisema: "yeye ni mtu mzima, mwulizeni."
על כן אמרו יולדיו בן דעת הוא שאלו את פיהו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting