Results for mahakamani translation from Swahili to Hebrew

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

mahakamani

Hebrew

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

basi, akawafukuza kutoka mahakamani.

Hebrew

ויגרש אתם מלפני כסא המשפט׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu akikupeleka mahakamani kutaka kukuchukulia shati lako, mwache achukue pia koti lako.

Hebrew

ואשר יחפץ לריב עמך ולקחת את כתנתך תן לו גם את חמעיל׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jihadharini na watu, maana watawapeleka ninyi mahakamani na kuwapiga viboko katika masunagogi yao.

Hebrew

והשמרו לכם מבני האדם כי ימסרו אתכם לסנהדריות ויכו אתכם בשוטים בבתי כנסיותיהם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, walipofika hapa sikukawia, ila nilifanya kikao mahakamani kesho yake, nikaamuru mtu huyo aletwe.

Hebrew

ולכן כאשר באו הנה יחד חשתי ולא התמהמהתי כי ממחרת היום ישבתי על כסא המשפט ואצוה להביא את האיש׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini ninyi mnawadharau watu maskini! je, matajiri si ndio wanaowakandamizeni na kuwapeleka mahakamani?

Hebrew

ואתם הכלמתם את העני הלא העשירים הם העשקים אתכם והם הסחבים אתכם אל בתי דין׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

badala yake, kweli imekuwa mtindo ndugu kumpeleka ndugu yake mahakamani, tena mbele ya mahakimu wasioamini.

Hebrew

כי אח רב עם אחיו וזאת לפני לא מאמינים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sikujua la kufanya kuhusu shauri hilo. basi, nilimwuliza paulo kama angependa kwenda mahakamani kule yerusalemu kwa ajili ya mashtaka hayo.

Hebrew

ותכבד בעיני השאלה הזאת ואמר החפץ אתה ללכת ירושלים ולהשפט שם על אלה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, watakapowapeleka ninyi mahakamani, msiwe na wasiwasi mtasema nini au namna gani; wakati utakapofika, mtapewa la kusema.

Hebrew

וכי ימסרו אתכם אל תדאגו איך ומה תדברו כי ינתן לכם בשעה ההיא את אשר תדברו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"lakini ninyi jihadharini. maana watu watawapelekeni mahakamani, na kuwapigeni katika masunagogi. mtapelekwa mbele ya watawala na wafalme kwa sababu yangu ili mpate kunishuhudia kwao.

Hebrew

אלה ראשית החבלים ואתם השמרו בנפשתיכם כי ימסרו אתכם לסנהדריות והכיתם בבתי כנסיות ולפני משלים ומלכים תובאו למעני לעדות להם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini mimi nawaambieni, yeyote anayemkasirikia ndugu yake, lazima ahukumiwe. anayemdharau ndugu yake atapelekwa mahakamani. anayemwita ndugu yake: pumbavu atastahili kuingia katika moto wa jehanamu.

Hebrew

אבל אני אמר לכם כל אשר יקצף על אחיו חנם מחיב הוא לבית דין ואשר יאמר אל אחיו רקא מחיב הוא לסנהדרין ואשר יאמר אתה הנבל מחיב לאש גיהנם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"patana na mshtaki wako upesi mkiwa bado njiani, kwenda mahakamani. la sivyo, mshtaki wako atakukabidhi kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa askari, nawe utafungwa gerezani.

Hebrew

מהר התרצה לאיש ריבך בעודך בדרך אתו פן יסגיר אתך איש ריבך אל השפט והשפט יסגירך לשוטר והשלכת את בית הכלא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

wakati huo paulo alikwisha tambua kwamba sehemu moja ya wanabaraza wale ilikuwa ni masadukayo na nyingine mafarisayo. basi, alipaaza sauti yake mbele ya baraza: "ndugu zangu, mimi ni mfarisayo, mwana wa mfarisayo. mimi nimeletwa mahakamani kwa kuwa ninatumaini kwamba wafu watafufuka."

Hebrew

ופולוס ידע כי מקצתם צדוקים ומקצתם פרושים ויצעק בתוך הסנהדרין אנשים אחים פרוש בן פרוש אנכי ועל תקות המתים ותחיתם אני נדין׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,787,515,114 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK