Results for nasema translation from Swahili to Hebrew

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

nasema

Hebrew

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

mimi nasema ukweli, na ndiyo maana ninyi hamniamini.

Hebrew

ואני יען דברי האמת לא תאמינו לי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nasema tena wazi: kila anayekubali kutahiriwa itambidi kuishika sheria yote.

Hebrew

ומעיד אני עוד הפעם בכל איש אשר ימול כי מחיב הוא לשמר את כל התורה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi nasema yale aliyonionyesha baba, lakini ninyi mwafanya yale aliyowaambieni baba yenu."

Hebrew

אני מדבר את אשר ראיתי אצל אבי ואתם עשים את אשר ראיתם אצל אביכם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

je, nasema mambo haya kibinadamu tu? je, sheria nayo haisemi hivyo?

Hebrew

הכי לפי דרכו של אדם אני מדבר כזאת הלא גם התורה אמרת כן׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

si kwamba mimi nautegemea ushahidi wa wanadamu, lakini nasema mambo haya ili mpate kuokolewa.

Hebrew

ואני אינני לקח עדות מאדם אך אמרתי זאת למען תושעון׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, nasema hivi: mwenendo wenu na uongozwe na roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia.

Hebrew

והנני אמר התהלכו ברוח ולא תמלאו את תאות הבשר׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninachosema sasa si kile alichoniagiza bwana; kuhusu jambo hili la kujivuna, nasema tu kama mtu mpumbavu.

Hebrew

את אשר אדבר לא לפי דרך האדון אנכי מדבר כי אם כמו בסכלות אעז ואתהלל׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, nasema hivi: mrithi, akiwa bado mtoto, hawi tofauti na mtumwa ingawaje mali yote ni yake.

Hebrew

ואני אמר היורש כל עת היותו קטן אין הבדל בינו ובין העבד אף אם הוא אדון הכל׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nasema ukweli mtupu; nimeungana na kristo nami sisemi uongo. dhamiri yangu ikiongozwa na roho mtakatifu inanithibitishia jambo hili pia.

Hebrew

אמת אני מדבר במשיח ולא אשקף ודעתי מעידה לי ברוח הקדש׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu hiyo mimi nilitumwa niwe mtume na mwalimu wa watu wa mataifa, niutangaze ujumbe wa imani na ukweli. nasema ukweli; sisemi uongo!

Hebrew

אשר אני הפקדתי לה לכרוז ולשליח אמת אני אמר במשיח ולא אשקר מורה הגוים באמונה ובאמת׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, ndugu, nasema hivi: kile kilichofanywa kwa mwili na damu hakiwezi kuushiriki ufalme wa mungu; na chenye kuharibika hakiwezi kuwa na hali ya kutoharibika.

Hebrew

וזאת אני אמר אחי כי בשר ודם לא יוכל לרשת את מלכות האלהים ואשר יכלה לא יירש את אשר לא יכלה׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, yesu akawaambia, "mtakapokwisha mwinua mwana wa mtu hapo ndipo mtakapojua kwamba mimi ndimi, na kwamba sifanyi chochote mimi mwenyewe, ila nasema tu yale baba aliyonifundisha.

Hebrew

אז אמר להם ישוע בעת תנשאו את בן האדם וידעתם כי אני הוא וכי אינני עשה דבר מנפשי כי אם כאשר למדני אבי אלה אדבר׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nilikwisha sema, na kama ilivyokuwa safari ya pili, sasa nasema tena nikiwa mbali: wale wote waliotenda uovu bila kutubu, na pia wale wengine, nitakapokuja, watakiona cha mtema kuni.

Hebrew

מקדם אמרתי בהיותי אצלכם בפעם השנית ומקדם אני אמר וכתב עתה ברחקי מכם לאשר חטאו לפני מזה ולכל הנשארים כי בשובי לבוא לא אחוס׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu akimwona ndugu yake ametenda dhambi isiyompeleka kwenye kifo anapaswa kumwombea kwa mungu, naye mungu atampatia uzima. nasema jambo hili kuhusu wale waliotenda dhambi ambazo si za kifo. lakini ipo dhambi yenye kumpeleka mtu kwenye kifo nami sisemi kwamba mnapaswa kumwomba mungu kwa ajili ya hiyo.

Hebrew

איש כי יראה את אחיו חוטא חטאת אשר לא למות שאל ישאל בעדו ויתן לו חיים לכל אשר חטאו לא למות הן יש חטא למות על זה לא אמר לשאל בעדו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

je, mnadhani nilipopanga hivyo nimekuwa kama mtu asiye na msimamo? je, mnadhani kwamba ninafanya uamuzi wangu kwa fikira za kibinadamu na kwamba nasema "ndiyo" na "siyo" papo hapo?

Hebrew

ועתה הכי נמהר הייתי בעצתי אם אשר יעצתי לפי הבשר יעצתי והיה אצלי פעם הן הן ופעם לא לא׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,778,307,898 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK