Trying to learn how to translate from the human translation examples.
From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
jumla tulikuwa watu mia mbili na sabini na sita katika meli.
ואנחנו כל נפש אשר באניה מאתים ושבעים ושש׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hali kadhalika na sisi tulipokuwa bado watoto, tulikuwa watumwa wa pepo watawala wa ulimwengu.
ככה גם אנחנו בעוד היותנו קטנים היינו משעבדים ליסדות העולם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
naam, tulikuwa kama watu waliohukumiwa kuuawa, ili tufundishwe kumtegemea mungu mwenye kuwafufua wafu, badala ya kutegemea nguvu zetu sisi wenyewe.
ואנחנו בלבבנו חרצנו לנו את המות למען לא נהיה בטחים בנפשנו כי אם באלהים המחיה את המתים׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
usiku wa siku ya kumi na nne, tulikuwa tunakokotwa huku na huku katika bahari ya adria. karibu na usiku wa manane wanamaji walijihisi kuwa karibu na nchi kavu.
ויהי כבוא ליל ארבעה עשר לטלטולנו בים אדריה כחצות הלילה ויחשבו המלחים כי קרבה להם יבשת׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
hivi ndivyo upendo ulivyo: si kwamba sisi tulikuwa tumempenda mungu kwanza, bali kwamba yeye alitupenda hata akamtuma mwanae awe sadaka ya kutuondolea dhambi zetu.
בזאת היא האהבה לא שאנחנו אהבנו את האלהים כי אם הוא אהב אותנו וישלח את בנו לכפרה על חטאתינו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
wengine kati ya wale wafuasi wa kaisarea walienda pamoja nasi, wakatupeleka nyumbani kwa mnasoni ambaye tulikuwa tunakwenda kukaa naye kwa muda. mnasoni alikuwa mwenyeji wa kupro na alikuwa amekuwa muumini kwa siku nyingi.
וילכו אתנו גם תלמידים מקסרין ויביאו אתנו ללון בבית איש כתי ושמו מנסון והוא תלמיד ישן׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
na hata sisi sote tulikuwa kama wao; tuliishi kufuatana na tamaa zetu za kidunia na kufanya tu mambo yale yaliyoipendeza miili na akili zetu. kidunia, sisi kama vile pia wao, tulistahili ghadhabu ya mungu.
וגם אנחנו כלנו בתוכם הלכנו לפנים בתאות הבשר לעשות חפצי בשרנו ומחשבותינו ונהי אך בני רגז בטבענו כאשר בני אדם׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: