From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
msidharau unabii.
את הנבואות לא תמאסו׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
alikuwa na binti watatu ambao walikuwa na kipaji cha unabii.
ולו היו ארבע בנות בתולות מתנבאות׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
basi, tunavyo vipaji mbalimbali kufuatana na neema tuliyopewa. mwenye kipaji cha unabii na akitumie kadiri ya imani yake.
ויש לנו מתנות שנות כפי החסד הנתן לנו אם נבואה תהי כפי מדת האמונה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
"sikiliza! naja upesi. heri yake anayeyazingatia maneno ya unabii yaliyo katika kitabu hiki."
הנני בא מהר אשרי השמר את דברי נבואת הספר הזה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
tena akaniambia, "usiyafiche kama siri maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, maana wakati wa kutimizwa kwake umekaribia.
ויאמר אלי אל תחתם את דברי נבואת הספר הזה כי קרוב המועד׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
Warning: Contains invisible HTML formatting
mwanangu timotheo, nakukabidhi amri hii kufuatana na maneno ya unabii yaliyosemwa zamani juu yako. yatumie maneno hayo yawe silaha yako katika kupigana vita vizuri,
את המצוה הזאת אני מצוך בני טימותיוס כפי הנבואות הקדמות עליך שתלחם לפיהן המלחמה הטובה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
mimi yohane nawapa onyo wote wanaosikia maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki: mtu yeyote akiongeza chochote katika mambo haya, mungu atamwongezea mabaa yaliyoandikwa katika kitabu hiki.
מעיד אני בכל השמע דברי נבואת הספר הזה אם יוסיף איש עליהם יוסיף עליו האלהים את המכות הכתובות בספר הזה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:
na mtu yeyote akipunguza chochote katika maneno ya unabii yaliyomo katika kitabu hiki, mungu atamnyang'anya sehemu yake katika ule mti wa uzima, na sehemu yake katika mji mtakatifu, ambavyo vimeelezwa katika kitabu hiki.
ואם יגרע איש מדברי ספר הנבואה הזאת יגרע האלהים את לחקו מעץ החיים ומעיר הקדש הכתובים בספר הזה׃
Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality: