Results for walikuwa translation from Swahili to Hebrew

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Hebrew

Info

Swahili

hao watu walikuwa wametumwa na mafarisayo.

Hebrew

והמשלחים היו מן הפרושים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao waliokula hiyo mikate walikuwa wanaume elfu tano.

Hebrew

והאכלים מן הלחם היו כחמשת אלפי איש׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wote jumla, walikuwa watu wapatao kumi na wawili.

Hebrew

ויהיו כלם כשנים עשר איש׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nao waliokula walikuwa watu wapatao elfu nne. yesu akawaaga,

Hebrew

והאכלים היו כארבעת אלפי איש וישלחם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wote walikuwa wanalia; wakamwaga kwa kumkumbatia na kumbusu.

Hebrew

ויבכו כלם בכי גדול ויפלו על צוארי פולוס וינשקו לו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hao wafuasi walikuwa wamejaa furaha na roho mtakatifu.

Hebrew

והתלמידים מלאו שמחה ורוח הקדש׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku ya pentekoste ilipofika, waumini wote walikuwa wamekusanyika pamoja.

Hebrew

וביום מלאת שבעת השבעות ויתאספו כלם לב אחד׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alikuwa na binti watatu ambao walikuwa na kipaji cha unabii.

Hebrew

ולו היו ארבע בנות בתולות מתנבאות׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hao waliokula walikuwa wanaume elfu nne, bila kuhesabu wanawake na watoto.

Hebrew

והאכלים היו ארבעת אלפי איש מלבד הנשים והטף׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baba na mama yake yesu walikuwa wakistaajabia maneno aliyosema simeoni juu ya mtoto.

Hebrew

ויוסף ואמו תמהים על הדברים הנאמרים עליו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula.)

Hebrew

כי תלמידיו הלכו העירה לקנות אכל׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wao wakanyamaza, maana njiani walikuwa wamebishana ni nani aliye mkuu kati yao.

Hebrew

ויחרישו כי התעשקו בדרך מי הוא הגדול בהם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu, umati mkubwa, walikuwa wamekusanyika nje wanasali wakati huo wa kufukiza ubani.

Hebrew

וכל קהל העם היו מתפללים בחוץ בעת הקטרת׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(yesu alisema hivyo kwa sababu walikuwa wanasema, "ana pepo mchafu.")

Hebrew

כי המה אמרו רוח טמאה בו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

na kwa vile wao walikuwa mafundi wa kushona mahema kama alivyokuwa yeye, paulo alikaa nao akafanya kazi.

Hebrew

ויבא אליהם ויהי בהיתם בני אמנות אחת וישב אתם ויעש מלאכתו ואמנותם עשות יריעות אהלים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(walikuwa bado hawajaelewa maandiko matakatifu yaliyosema kwamba ilikuwa lazima afufuke kutoka wafu).

Hebrew

כי לא הבינו עד עתה את הכתוב אשר קום יקום מעם המתים׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

miongoni mwao walikuwa maria magdalene, maria mama yao yakobo na yosefu, pamoja na mama yao wana wa zebedayo.

Hebrew

ובתוכן מרים המגדלית ומרים אם יעקב ויוסי ואם בני זבדי׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, askari walikwenda, wakaivunja miguu ya yule mtu wa kwanza na yule wa pili ambao walikuwa wamesulubiwa pamoja na yesu.

Hebrew

ויבאו אנשי הצבא וישברו את שוקי הראשון והשני הנצלבים עמו׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

karibu na msalaba wake yesu walikuwa wamesimama mama yake, na dada ya mama yake, maria mke wa kleopa, na maria magdalene.

Hebrew

ועל יד צלב ישוע עמדו אמו ואחות אמו מרים אשת קלופס ומרים המגדלית׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alisikia kwamba walikuwa wamemfukuzia mbali, naye alipomkuta akamwuliza, "je, wewe unamwamini mwana wa mtu?"

Hebrew

וישמע ישוע כי הדפהו החוצה ויפגשהו ויאמר אליו התאמין בבן האדם׃

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,953,058,340 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK