Results for mtawala translation from Swahili to Indonesian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Indonesian

Info

Swahili

wakati huo, mtawala herode alisikia sifa za yesu.

Indonesian

pada masa itu herodes, penguasa negeri galilea, mendengar mengenai yesus

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa ndio wakati wa ulimwengu huu kuhukumiwa; sasa mtawala wa ulimwengu huu atapinduliwa.

Indonesian

sekarang sudah waktunya dunia dihakimi; sekarang penguasa dunia ini digulingkan

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sitasema nanyi tena mambo mengi, maana mtawala wa ulimwengu huu anakuja. kwangu mimi hawezi kitu;

Indonesian

aku tidak akan berbicara lebih banyak lagi dengan kalian, sebab sudah waktunya penguasa dunia ini datang. tetapi ia tidak berkuasa atas diri-ku

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, jiwekeni chini ya mamlaka yote ya kibinadamu, kwa ajili ya bwana: utii kwa mfalme aliye mtawala mkuu,

Indonesian

demi tuhan, hendaklah kalian tunduk kepada setiap penguasa manusia: baik kepada kaisar yang menjadi penguasa yang terutama

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kutokea kwake kutafanyika wakati ufaao uliopangwa na mungu mwenye heri na aliye mtawala pekee, mfalme wa wafalme, na bwana wa mabwana.

Indonesian

kedatangan-nya akan ditentukan pada waktu yang tepat oleh allah sendiri. ialah penguasa satu-satunya; ia agung, raja segala raja, dan tuhan segala tuan

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati ule mliishi kufuatana na mtindo mbaya wa ulimwengu huu, mkawa mnamtii mtawala wa pepo wenye nguvu wa anga, pepo ambao huwatawala sasa watu wasiomtii mungu.

Indonesian

pada waktu itu kalian mengikuti kebiasaan-kebiasaan dunia ini; berarti kalian taat kepada penguasa angkasa raya, yaitu roh yang sekarang menguasai hati orang-orang yang tidak taat kepada allah

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kutoka kwa yesu kristo, shahidi mwaminifu, wa kwanza kufufuliwa kutoka wafu, na ambaye ni mtawala wa wafalme wa dunia. yeye anatupenda, na kwa damu yake ametufungua kutoka vifungo vya dhambi zetu,

Indonesian

dan dari yesus kristus, saksi yang setia. dialah yang pertama-tama dihidupkan kembali dari kematian dan dialah penguasa atas raja-raja dunia. yesus mengasihi kita, dan dengan kematian-nya ia membebaskan kita dari dosa-dosa kita

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

paulo akajibu, "ndugu zangu, sikujua kama yeye ni kuhani mkuu. maana maandiko yasema hivi: usiseme vibaya juu ya mtawala wa watu wako."

Indonesian

paulus menjawab, "oh, saya tidak tahu, saudara-saudara, bahwa dia imam agung. memang dalam alkitab ada tertulis, 'janganlah engkau menghina pemimpin bangsamu.'

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,920,058,311 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK